Unamvisha Pete ya hela ndefu 1.2m alaf washenz wanapiga tackel zao kazaa wife anawah kukupikia na amevaa bado Pete,hapo ndo utajua hujui,mi nakumbuka nilinunua Pete ya uchumba ya elf 10000 na box ya Pete ikakamilika 15000maisha yakaenda fresh,all in all acha kutumia gharama zisizo za msingi,kama...