Recent content by Nchompa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri bungeni Dodoma: Jumanne tarehe 2 Septemba, 2014

    Na hiyo rifarendam si wataichakachua? Mi naona kwa sasa tumenasa, hatuna pa kutokea.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kayanza nae Yumo

    Daaah!!!! Nimechekaaaa!!!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Pemba haina Uwakilishi Bunge la Katiba.

    Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Juma, amesema hatua ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kueleza kuridhishwa na utendaji wa Bunge hilo wakati hakuna mwakilishi aliyechaguliwa kwa kura na wananchi wa Pemba, ni kubariki Pemba kuwa nchi inayojitegemea. Juma ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Nani anampa nguvu huyu? Na jeuri?

    Angekuwa anaitwa JUMA kimsingi angeitwa GAIDI. Lakini huyu kwa vile ni JOSEPH, hautasikia hata siku moja na kundi lake la LRA kuitwa magaidi. The world is not universal.
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya hewa Mwanza-Dar leo saa sita mchana

    mkuu, Mwanza - Dar fastjet nauli ni sh. ngapi? Msaada please!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mungu tusaidie tusifike huku

    Hiyo ni CAR yaani Jamhuri ya Africa ya Kati
  7. N

    JamiiForums Tanzania Bank yenye riba nafuu

    Mkuu vipi kuhusu U.T.T? Nipe mwanga kuhusu hili.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa mzuri maisha yanakuwa rahisi

    Punga, bwabwa ilo!!! Weka picha basi tutangaze dau!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    Itusaidie nini hiyo mastaz yako sisi?
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kuwa kila Mwana JamiiForums ana degree?

    Binafsi niliishia darasa la tatu tu, mwezi Aprili 1989, ila sijutii kuacha shule. Degree ndio nini? Ina mchango upi mkubwa ktk maisha halisi ya mtaani? Si wapo wengi, kuna lipi kubwa la maana wengi wao wanalofanya kwa faida ya jamii? Si madudu matupu?
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini kwa hili

    Huu ndio uhalisia wa mambo. Kila mtu amevurugwa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Dk. Shein aridhishwa na ushirikiano na Israel

    Muombee kwa Mungu aote nywele!!!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mchele daraja la kwanza kwa bei nafuu unapatikana

    mkuu ID yako imenikumbusha kitabu cha MIRADI BUBU YA WAZALENDO
  14. N

    JamiiForums Tanzania kwa hali hii UDOM kunaendeka?

    Sema tu, unakuja kujisifia na matokeo yako ya BRN hapa. Hawa watoto imekuwa nongwa.
Back
Top Bottom