Recent content by Nchoji

  1. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Nakushuru sana kwa namba ya simu uliyotoa, lakini kila ninapopiga iko busy. Nimetuma ujumbe nao bado haujajibiwa. Members, bado ninauhitaji sana wa mbegu hizo na abc za upandaji au ulimaji wa Korosho kama nilivyoeleza awali. Bado tumaini langu la kusaidiwa katika jukwaa hili ni kubwa. Asante.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Fahamu mambo mbalimbali kuhusu Kilimo cha Korosho

    Nina shamba langu la hekari 50. Lipo Rufiji. Nataka kulima Korosho. Naomba nisaidiwe namna ya kupata mbegu bora na jinsi nitakavyozipata. Nimebahatika katika mtandao kupata mwongozo toka Bodi ya Korosho. Taarifa nilizoziona ndani yake ni pamoja na kwamba mbegu bora zinapatikana Naliendele...
  3. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu kuwa rooted

    Jamani device kuwa ROOTED inafanyika yenyewe tu wakati ku update au inafanywa na IT personnel? Msaada wadau wa it
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Inakata kimyakimya haimwambii chochote na wewe unaona miscall yake.
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Hiyo mwisho wa maneno
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Ingawaje sijui anayenipigia anaambiwaje! Ulishacheki ama kujua uliowablock wanaambiwa nini wakikupigia? Please km una info hiyo julisha mdau.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Asante sana Blacklist ni bomba nimedownload na ku-apply ilko vizuri sana na features nyingi tu. Thank you so much.
  9. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    But, bado sijadownload ili kuona ukweli wenyewe. Thanks in advance.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Steps za kuadd to reject list tafadhali mkuu saidia hiyo.
  11. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Utaona hapa hapa. Nadhani tuwe na subira tu jibu la ukweli litatupiwa tu hapa.
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Nikidownload true caller no other operations to be done? Then how na-block the desired number?
  13. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Kweli akili ni nywele kila mtu ana zake. Bado ni imani yangu kupata majibu yatakayosaidia kutokana na dhamira yangu.
  14. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ku-block mtu Calls za Kawaida

    Jukwaani tafadhali nawaomba nisaidieni namna ya kuzuia mtu asinipigie kwenye mwito wa simu wa kawaida. Upande wa WhatsApp sina tatizo napo, lakini mwito wa kawaida wa simu sifahamu hatua zinazochukuliwa ili kuzuia mtu asikupigie. Nawasilisha nikiwa na matumaini makubwa ya kusaidiwa katika hili.
  15. N

    JamiiForums Tanzania IMTU waliochaguliwa hapo utaratibu uko vipi

    Naomba kujua waliochaguliwa mchakato uko vipi na majina yao yapo katika tovuti ya IMTU?
Back
Top Bottom