Recent content by Nchaby

  1. Nchaby

    Prosperity consciousness exercise

    Mtoa maada, rudi hapa utoe maelezo yanayofuata baada ya mimi kuandika Tzs.10,000,000,000,000/= nini kinachofuata? Sent using Jamii Forums mobile app
  2. Nchaby

    Je, unajua chanzo cha matatizo yako yanayokusumbua?

    Kizazi kimoja ni sawa na miaka 100, wawezaje kutambua namna mababu zako walivyoishi kizazi cha 1,2,3 na hatimaye kujiondoa katika mnyororo huo wa laana? Kwa wenye imani na wanaosoma vitabu vya Mungu wanatambua kile kilichoandikwa katika Vitabu hivyo. "nawapatiliza wana maovu ya baba zao, hata...
  3. Nchaby

    Hivi Serikali kupiga marufuku GMO wanajua wanachokifanya?

    Genetically Modified Organisms (GMO) ni hatari sana kama hufahamu!!! Mbegu zitokanazo na uhandisi-jeni huo hazifai hata kidogo. Tafiti mbali mbali zimefanyika, na bwana makubwa Bill Gate na mkewe wenye hisa za 53% wanapenda wawatawale wakulima wote duniani kupitia GMO, huku wakiupaka asali mradi...
  4. Nchaby

    Yusufu Fundi Seremala

    Unaelewa nini kuhusu neno " historia" ?
  5. Nchaby

    Yusufu Fundi Seremala

    Mkuu, nimekupata!! Umepapasa tu! Lakini kiu yangu imebakia pale pale! Kama hawa Yusufu ni watu wawili tofauti! Mbona Biblia inawataja wote kama wana wa Yakobo?
  6. Nchaby

    Yusufu Fundi Seremala

    Wakuu, hapa pameniwea pagumu kuelewa. Lakini naamini katika jukwaa hili, wapo watu waliobobea na waelewa historia ya biblia kwa kiwango cha juu mno kisicho na shaka. Biblia ninayoisoma inataja Yusufu mwana wa Yakobo aliyeuzwa na ndugu zake utumwani Misri (Mwanzo 37:2-36) Vilevile, inataja...
  7. Nchaby

    Ina maana Wabunge au wanasiasa ni washirikina?

    Acha woga; Jiamini! Asikudanganye mtu yeyote; Hakuna nguvu, hapa duniani inayoshinda nguvu ya damu ya Yesu Kristo! Ukiamini nguvu za Giza, zitakumiliki, zitakutawala na kukuongoza katika njia zako, ndani ya maisha yako yote na katika kila jambo unalolifanya. Kwa msingi huo; waganga wakienyeji...
  8. Nchaby

    Nani aijuaye kesho?

    Huo ni ukweli wa maisha ya kila binadamu! Binadamu yeyote anayejitambua na aliye na akili timamu anapaswa kutambua ukweli huo. Kila kitu juu ya uso wa dunia hubadilika kulingana na muda!!! Hakuna kitu chochote kinachosalia vile vile siku zote.
  9. Nchaby

    Kiwanja chenye hati (Title deed) kinauzwa

    Kiwanja safi kisicho na mgogoro wa aina yoyote kinauzwa; kipo Kigamboni katika eneo la Amani Gomvu kina ukubwa wa mita za mraba 1040 (1040 SQM). Kiko eneo zuri la makazi. Ni eneo ambalo tayari lina wakazi hivyo Umeme na Maji vinapatika. Bei ya Kiwanja hicho ni Tzs.18m, kwa yeyote anayekihitaji...
  10. Nchaby

    Huyu kweli ni professor? Aliyemuelewa please atafsiri

    Professor huwa nafuatilia sana speeches zako, lakini hapo sina lakusema!!!!
  11. Nchaby

    Mshituko: Polisi Wamekosea Sana Kushauri Wananchi Wawe Jasiri Kwa Majambazi

    Kwahiyo wewe kaka jambazi; unataka uogopwe! Wananchi wawe na hofu ili uendelee kuwaibia!!! Safi sana kamanda Silo, zidi kuhamasisha wananchi kuwa jasiri mno, ili tuweze kupambana na hayo majambazi, tuyagonge na kuyauwa kila yanapojalibu kuiba.
  12. Nchaby

    Binadamu wa Kawaida

    Nimekuelewa!
  13. Nchaby

    Ni uongo upi mkubwa zaidi umewahi kuambiwa?

    Yeah! Nimekuelewa!!!!
  14. Nchaby

    Magari kuungua moto barabara ya Goba - Mbezi Luiz kulikoni

    Siyo barabara hiyo tu!!! Hata barabara ya Salasala inayotokea Mbuyuni kuna shida hiyo. Kwa haraka haraka mwaka jana (2015) nimeshududia magari matano (5) yakiwaka moto na kuteketea kabisa! Wataalamu wa magari njooni mtupatie uzoefu wenu hapa! Shida ni kitu gani? Au hata mitaa mingine magari...
Back
Top Bottom