Binadamu wa Kawaida

mwengeso

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
9,227
6,666
Wanajamvi mwasemaje kuhusu mada hii:

" Mnamo September 27 mwaka 2010,Rapa LIL WAYNE,akiwa Jela akitumia Kifungo,alitoa Albamu yake ya 8 na akaiita I AM NOT A HUMAN BEING!!
Watu tofauti walijaribu kutafsiri KWANINI ameiita hivyo na kila mmoja alikuja na Conclusion zake lakini ukisikiliza Mashairi kwenye Albamu hiyo UTAMUELEWA kutokana na Vitu alivyoviimba kusisitiza kuhusu Yeye KUTOKUWA WA KAWAIDA na kwanini hapendi kuwa BINADAMU WA KAWAIDA!
Katika maisha tunayoishi,Ukiwa BINADAMU WA KAWAIDA utafeli na utaona wale waliochagua kuwa IMMORTAL wakikuacha mbali Kimafanikio huku wewe ukibaki Unalalamika na Kulialia...

Binadamu wa Kawaida ni MVIVU...
Binadamu wa kawaida amejaa EXCUSES...
Binadamu wa kawaida ni MWOGA WA KUTENDA....
Binadamu wa kawaida ANAPENDA SHORTCUTS...
Binadamu wa Kawaida HUONGEA SANA KULIKO KUTENDA...
Binadamu wa Kawaida HUMCHUKIA ALIYEMZIDI BADALA YA KUJIFUNZA
Binadamu wa Kawaida HULALA ZAIDI USIKU BADALA YA KUPLAN KWA AJILI YA KESHO YAKE..
Kuwa Binadamu wa Kawaida ni MZIGO...Ni MATESO...Ni UMASKINI!

Try Something Different...Choose to be Different...Choose to be IMMORTAL...Disturb The Atmosphere!
Kiumbe IMMORTAL ni Kama ROBBOT hivi...HAKICHOKI...HAKISIKII MAUMIVU...HAKINA EXCUSE...Kinafanya Kazi Non Stop kama KILIVYOTUMWA!You Need that!
Umewahi kuona Robbot anapigwa Risasi akafa??Atayumba then Atakufuata...THATS YOU...

Unapopitia Challenges za Maisha na Biashara HUANGUKI,Unayumba na Unajipanga unasonga...Ukiwa Binadamu wa Kawaida Ukapata Kajaribu Kadogo UNAKUFA MOYO...Unaanza Kulalamika na Kulia WHY ME LORD...

Uko tayari kuwa IMMORTAL??Uko tayari kuwa ROBBOT??Kila mtu anaweza kuwa BINADAMU WA KAWAIDA,ila wewe unapaswa kuchagua KUWA WA TOFAUTI kwa sababu INALIPA kutokuishi kawaida kama wengine..Show them kwamba INAWEZEKANA kufanya Yale ambayo Wao wanayaogopa na kuyakimbia!
Ni Raha sana kuwa IMMORTAL kwa sababu HAKUNA MBABE ZAIDI YAKO,

Unachoamua ndio unachotenda BILA KIKWAZO..
Ukiona Tatizo liambie wazi litambue YOU ARE NOT A HUMAN BEING na likupishe,wewe sio wale lililowazoea kwamba Utatetemeka na Kuogopa,UR SOMETHING ELSE...SOMETHING DIFFERENT..."

Kuanzia leo USIWE WA KAWAIDA....
 
Nimekuelewa!
 
mkuu asante umeniinua nlikuwa nimegalagazwa chini mavumbini na matatizo na migogoro.sasa nainuka.
asante.
 
badala ya kuwa robot me nimechagua kuwa zombie.........
:-nikitaka kitoweo sichoki kukitafuta mapaka nikipate......
yani nikitaka mafanikio piga, ua, garagaza funika ,funua,manyama ndani manyama nje...........jombaa lazima nifanikiwe!!!!!!
 
Back
Top Bottom