Abigail2011
JF-Expert Member
- Feb 15, 2012
- 519
- 230
Ndugu zangu,mm ni mmoja wa anayetumia sana hii barabara kutokea mbezi luiz via Goba mpaka Mbezi Makonde..
Sasa mimi kinachonishangaza sana kwenye hii barabara kunatokeaga sana ajali ya magari kuwaka moto,kwa harakaharaka ni kianzia tu mwaka jana mpaka jumamosi iliyo pita sio chini ya magari sita (6) niliyo yaona yameungua moto.
Sasa mimi najiuliza mbona ni hii barabara tu?.Wadau nisaidieni hapo.

Last edited by a moderator: