Recent content by nazarius paul

  1. N

    Tanzania moja bei ya sukari toka Sh. 1,700 hadi 2,500

    Rombo ni takribani kilometa 90 toka kiwanda cha sukari TPC MOSHI. Iz it fea? Nawasilisha....!
  2. N

    Noti mpya hazina ubora?

    Unashangaa nini wakati mzigo wa zamani mafisadi waligonga copy mzigo wa ziada na baadae ukaingizwa kwenye mzunguko. Utoaji wa tenda za kuchapa huo mzigo ni dili kwa vigogo wa chama na serikali ambao wana percent zao.
  3. N

    Selelii: Rostam ni mmiliki wa Dowans, Richmond

    Ukweli umejulikana. Sasa ni muda muafaka wa kuacha kumjadili RA badala yake 2je na hoja za jinsi gani 2zuie hayo mapesa yasilipwe kwa huyo muiran na rafiki zake wanaoihujumu nchi. French revolution iliwezekana,why not bongo? Lets kam with majibu....,
  4. N

    Mgomo wa Wahadhiri na Wanafunzi UDOM 2011

    Mi binafsi ctegemei solution kutoka kwa mzee pinda. Jamaa ni mwoga kufanya maamuzi na kama atathubutu basi yatakuwa kipolitics zaidi. Mtoto wa mkulima ana uzalendo WENye kutiliwa mashaka coz usalendo sio kuöngea2 na kulia michozi. Vitendo vinahusika sana! 2mckilizie lakn..,
  5. N

    Who is IGP Mwema? CV Please!

    Mwema ALISOMA na JK shule ya sekondari TANGA ufundi. Alipenda michezo, alikuwa kipa wa timu ya shule-footbal. Amefanya kazi polisi wa kimataifa-INTERPOL Narobi hadi 2005 alipoitwa na swahiba wake jk.
  6. N

    Sitta on DOWANS payment: unanswered questions and painful

    6 ni ndumilakuwili. Hana uzalendo. 2kumbuke ktk bunge la kumi mjadala wa richmond ulifungwa kuikoa serikali na chama-CCM wakati 6 akiwa spika. Ni wazi kwamba mzee 6 anayajua mengi kuhusu dowans. Nathubutu kusema kwamba 6 ni bonge la mnafiki!
  7. N

    Bilioni 185 za DOWANS ni hela chache sana kwangu - Rostam Aziz

    Usemi wa chenge kuziita oneBILLION vijisent unaendelea KUTIMIA. U ken c nao, Rostam anaona 185 billion iz jast a smal amaunt of pesa. Mind u dat makusanyo yaTRA kwa mwezi ni araund hizo pesa(180)
  8. N

    Bungeni: TLP, CUF, UDP na NCCR Mageuzi navyo vyaungana

    nafikiri wa2 hawakumwelewa slaa. Kulinganga na katiba ya sasa, chama kitachoshinda ndo kinachounda serikali. Az we al kno, chadema ilijianda kushinda kushinda hivyo haikuwa tayari kuungana kutokana na ubovu wa katiba iliyopo.
  9. N

    Mabere Marando...........

    Ukiacha hilo la ukada, Marando ni mashine. Yaan huwezi kabisa kumlinganisha na huyo bibi wa sisiem. Kwa wabunge wenye kutanguliza maslahi ya taifa mbele,hakika watamchagua mh. Marando.
  10. N

    HISTORIA: Safari ya Anna Makinda kutoka Naibu Spika hadi Spika wa JMT

    Huyo makinda ni KADA mwenye damu ya kijani. Amewekwa kulinda maslahi ya ccm hapo kwa bunge. Kiukweli kabisa huyo bibi(makinda) hana viwango ambavyo vinahitajika. WAMETANGULIZA MASLAHI YA CHAMA CHAO sisiem KULIKO TAIFA
Back
Top Bottom