Recent content by naynay jam

  1. naynay jam

    Kina dada, this is too much

    Usidhani akikuambia hivyo anakupnda anakupiga mzinga ili usimsumbue mie pia nikiona mtu msumbufu nampiga mzinga tena nyie mna bahati mnaombwa hamsini mie pesa hiyo Ni ya mafuta ya gari naweza kuimudu kuipata kwa cku naanza Na m . Ili usinijazie contact
  2. naynay jam

    Jinsi ya 'Kumatch' mavazi

    Ila unatakiwa uwe Na moyo wa uvumilivu cz atakuwa cyo msafi
  3. naynay jam

    Mrejesho: Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Really anaonekana anapenda kujisifia na wanawake wengi hatupendi sifa sifa hasa kitoka kwa man wako na hatupend mwanaume anayeingea ongea tu hovyo so uyo mkeo alikimbilia ndoa hakufanya uchunguz wa tabia zako kama ataziweza au la!! Ni tabia ndogo ndogo bt zinakera
  4. naynay jam

    Mrejesho: Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Mbona wanawake wapo wengi wenye mapenz ya dhat jamni y mdogo wake utasababisha ugomvi ambao unaweza kuleta mauaji ni bora umwachie nyumba utafute mwanamke mwingine
  5. naynay jam

    Ameahidi kumpa jibu tar 24 mwezi huu

    Kusema kweli dada ajampnda jamaa make na mie nina mtu kila akikumbushia ombi lke namwambia asubili ctaki kumpa jibu la hapana ili asijisikie vibaya so namvutia mda ili ajiongeze
  6. naynay jam

    Natafuta mke aliye tayari na mvumilivu

    Kwa hali yako ki ukweli utawaolea watu tafuta kazi kwanza ndoa zipo kwani usipooa utakufa
  7. naynay jam

    Unapochat na mume/mke wa mtu usiku mzito

    Natafuta wa kucht nao ila vigezo na mashrt kuzingatiwa 🏃🏃🏃
  8. naynay jam

    Sina bahati ya kupendwa

    Tafuta hela kaka kwani una hela Za kutosha hadi uumize kichwa kwa sabbu ya ndoa mungu atakupa wa kufanana na wewe lakini kama we mwenyewe maisha yako ya kuunga thn unataka mke alafu umri bado sanaaa
  9. naynay jam

    Nimempa mimba mdogo wa rafiki yangu

    Toa Posa kabla kaka yake ajajua make nyie wanaume mnakuwaga na hasira sana kujua best frnd anakulombea dada
  10. naynay jam

    Dada yetu anaishi na Virusi vya UKIMWI, tumwambie ukweli mchumba wake?

    Ki ukweli uyo wokovu wake una mashaka y atake kumuua kijana wa watu ndoa kitu gani kaka mwambie vaa kiatu chake ila mwambie kiume sabbu uwezi kujua anampnda vipi na mapenz ni upofu unaweza kumwambia akamsimulia dada yko ukawa ugomvi na wew
  11. naynay jam

    Amefukuzwa kazi, eti anadai nimlipie kodi, ni haki hiyo?

    Mwaji nimecheka yani nipo ofcn hadi machozi yamenitoka nimekupnda mwanaume wa mtu hana mapnz kbsaa
  12. naynay jam

    Amefukuzwa kazi, eti anadai nimlipie kodi, ni haki hiyo?

    Mie mume wa mtu anilale bure labda niwe nimelogwa cpo sawa uwiii dads ana mapenzi kweli
  13. naynay jam

    Amefukuzwa kazi, eti anadai nimlipie kodi, ni haki hiyo?

    Salfish fyuuu alikuoeleka kwake kwa so ulipenda kitonga cyo huna haya we mwanaume
  14. naynay jam

    Najuta kununua simu ya 1,000,000 baada ya kusevu mwaka mzima

    Kwanza Huawei uwezi kuilinganisha na iphone six plus hata cku moja pili umeanza na sim ya gharama sana kama ndiyo ilikuwa smartphone yko ya kwanza ulitakiwa uanze na Huawei y 360 ili ujue ni Jinsi gani ya kutumia
  15. naynay jam

    Tabia ya baadhi ya wanaume kununanuna pasipo kuwa na sababu inanikera

    Hahaaa nimecheka na anayelia ntacheka hadi nizimie
Back
Top Bottom