hussein boxer
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 832
- 335
- Thread starter
- #21
Mmmmh hebu badili mtizamo wako juu ya hilo na everthing ll be okey, ni bora uchelewe kuoa kuliko ukurupuke the uje ujutie maisha yote.
Hebu forcus kwanza kwenye kujijenga kiuchumi, kujiweka karibu na Mungu na usikurupuke kuanzisha mahusiano, wakati ukifika kila kitu kitakuwa poa, alafu tafuta size yako(mnayeendana)
asante kwa ushauri wako mkuu nitaufanyia kazi ushauri wako.