Recent content by Nawaluzwi

  1. N

    Mwanamke: Usafi wa 'maakuli' muhimu, sio vizuri kukutana na mtu ananuka sehemu za siri

    Hilo tatizo nikweli lipo kwa baadhi ya madada,la msingi ukikutana na hali hiyo ni kumshauri mwenza /mpenzi wako akamuone doctor.
  2. N

    Kinga ya bunge dhidi ya mh:Pinda

    Kipigo noma ,hao sugu2 watatuvunja viuno make watakutaimu hujajiandaa na uzazi utapotea,bosi wao kama hataki kuomba msamaha apelekwe tu mahakamani, haki itapatikana huko na kinga yake itaonekana huko.
  3. N

    Mufti Simba angaka - Azuia misikiti kubeba wanasiasa

    Mbio hizo za 2015,wananchi kuweni macho mtahahidiwa mambo makubwa mazuri,manono ndani ya sikuwa 7,akisha kalia hicho kiti ,thubutu utakiona cha moto.
  4. N

    Pigo jingine kwa JK: Mzee Mwinyi apigilia msumari suala la kuchinja

    Hakika,huyu mzee hakubahatisha kuwa RAIS
  5. N

    Hali ya Wilfred Lwakatare yazidi Kudorora

    Kama ni kweli ananyimwa haki ya matibabu,binadamu wa sasa hivi siyo mjinga kama wanavyofikiria.
  6. N

    Zitto Kabwe mwenyekiti mpya kamati ya PAC

    Tunakutakia kazi njema,usimamie rasilimali zetu ili tuweze kuondokana na huu wimbo wa umasikini tunaopandikizwa sisi watz wakati sio.
  7. N

    KIBANDA: Nilisikia akimwambia Mwenzake AFANDE 'mshuti... mshuti'

    Jamani wa TZ hii hali ya kuwindana kama wanyama itatufikisha wapi?.Inaumiza sana ila hao waviziaji wajue tu kwamba hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
  8. N

    laana yawakumba maccm meatu yatandikwa na nyuki

    Hongera sana nyuki kwa kazi nzuri ya kuwakomesha mafisadi,maana wamezidi kila kona.
  9. N

    Mzimu wa CHADEMA bado wamuandama Kikwete, amethitisha kwa kauli zake leo hii

    Damu ya mtu haichezewi,ukiichezee itakuadama tu,RIP mtetezi wa wanyonge kwa njia ya karamu mr Mwagosi.
  10. N

    Mzimu wa CHADEMA bado wamuandama Kikwete, amethitisha kwa kauli zake leo hii

    Nimecheka mpaka nahisi ubavu wangu umetenguka.
  11. N

    Mishahara serikalini!!

    Wewe ungesema kwamba unahitaji upate data za mishara na siyo kuogopea wana Jm kwa takwimu za kumbumba,inakuwa haijatulie.
  12. N

    Mnyika amlilia Odira Ongara

    Mungu ameto,na amempenda zaidi,ampumuzike kwa amani mzee wetu Ongara,amina
  13. N

    Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

    Polisi ni mhimili mmojawapo wa kupambana na rushwa ,hivi kweli wa Jm hawa jamaa wanastahili hiyo sifa?,hii kweli inatisha.
  14. N

    Bernard Membe Kumburuza Kortini Hussein Bashe: AK-47 Vs Mawe!

    Achana kutuhangaisha na mambo yako ya kishambi, nenda huko na wewe ukawe mashahidi wa membe wako kwa vile ulikuwepo,akishida 2015 utakabiziwa wizari ya ushabiki.
Back
Top Bottom