Recent content by navinama

  1. N

    JamiiForums Tanzania Magari ya abiria Mbeya yagoma

    Madreva wa coster wanataka kuiweka serikali yetu mfukoni kama wauza mafuta ya ptroli walivyo iyumbisha nchi.,kinachotakiwa watii sheria kama zambia abiria wanne wa wanne na kondakta ana siti yake.sasa wakwetu wanashindwaje?
  2. N

    JamiiForums Tanzania Sumaye: Rais ajaye apambane na madawa ya kulevya!

    Ni unafiki uliotopea mseme na huyu anayekuongoza hizo ni kampeni za kuusaka uraisi2015
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Awaonya Wanaoshabikia CHADEMA Iramba

    :kev:Mwigulu lameck nchemba namjua vilivvyo nimechunga nae ng'ombe amewahi ugua ugonjwa wa pepo punda, kwa mda mrefu sana mpakaalitaka kuwa taahira.Kwa hiyo ndugu wapenda amani kauli yake isiwashangaze sana akili yake niya kipunda punda tu:help:.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Watanzania wakataa siasa za Mwigulu Nchemba

    huoni matokeo wewe wa wapi
  5. N

    JamiiForums Tanzania Msafara wa Waziri Mkuu Mizengo Pinda wapata ajali mbaya

    saa ngapi na wapi anahaligani tujuze tafadhari
  6. N

    JamiiForums Tanzania Somo la CHADEMA Arusha CCM limewaingia?

    Tumetia aibu ya mwaka kwenye uchaguzi wa madiwani arusha,mimi ni mkeleketwa wa chama changu c,c,m. Kwa aibu hii chonde kusudi tusije angukia pua 2015. Natoa ushauri ufuatao kwa mheshimiwa kikwete.1.kusalimika kwa chama chetu muondoe mwigullu nape wassira nikwazo kwa usitawi wa chama chetu.Mbona...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa FB ya Nanyaro Ephata, CDM imeshinda kata zote nne.

    lete mambo mkuu
  8. N

    JamiiForums Tanzania Maryrose Kalage ajivua gamba na kuingia ndani ya CHADEMA - Julai 13, 2013

    :kev:kwa uamzi huo nitumie namba yasimu nikutumie japo salio sisiter umeona mbali
  9. N

    JamiiForums Tanzania Maryrose Kalage ajivua gamba na kuingia ndani ya CHADEMA - Julai 13, 2013

    Hongera dada yangu kwa uchaguzi makini na wengi watakufuata japo wanaona aibu.
  10. N

    JamiiForums Tanzania Laptops mpya

    Nitaipateje?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Wassira na ndimi mbili!

    Tumemzowea hana lolote wasira :kev:mbowe kasema anaushahidi tunautaka huo ushaidi uwe wazi kimataifa sio polisi wajichunguze. kwakuwa ndiyo mtuhumiwa namba moja, kwanini wasira na serikari yako mnakuwa waoga kunanini hapo?:nod:
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi nikwanini watu hupenda kutumia sehemu za siri za wanawake kutukana

    yote hayo ni kwa kuwa kila mtu katokea hapo ndiyo maana nirahisi kupatukana ..
  13. N

    JamiiForums Tanzania Anatafuta mume wa kumuowa huyu bibie jamani wanaume mupoooo

    nimempenda ntindi nimepatikana wa kumuoa tuwasiliane msimnyanyapae kwa maumbile yake.
Back
Top Bottom