Magari ya abiria Mbeya yagoma

Magari ya abiria Mbeya yagoma

oluku

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
350
Reaction score
71
Tangia leo asubuhi hakuna coaster ndani ya mkoa zinazofanya kazi. madereva wameamua kupaki magari pemben huku wakidai kuonewa na traffic na sheria wanazodai kandamizi za SUMATRA.

Mi mwenyewe nilitoka Tukuyu kuja jijini kwa usafiri binafsi. Aidha abiria wameamua kutumia malori kusafiri ndani ya mkoa yaani Tunduma, Tukuyu Kyela nk.
 
Kweli hata hapa maeneo ya uyole kuna askari wa FFU wamemwagwa baada ya madereva wa coaster kutaka kuzua abiria wasipande ktk magari ya mizigo(fuso)
 
Madreva wa coster wanataka kuiweka serikali yetu mfukoni kama wauza mafuta ya ptroli walivyo iyumbisha nchi.,kinachotakiwa watii sheria kama zambia abiria wanne wa wanne na kondakta ana siti yake.sasa wakwetu wanashindwaje?
 
Back
Top Bottom