Wakuu habari za majukumu ,natafuta chumba cha kupanga kiwe self contained, kiwe na jiko na pia mazingira yenye usalama kwa maeneo ya Arusha-Njiro road kikipatikana mpaka maeneo ya kontena itakua vyema zaidi kwa bajeti ya 80,000-100,000.
Aisee ninekumbuka mbali sana,enzi hizo mdomo wa furu,jamaica mocas,mbio za vijiti ilikua ni balaa,hao jamaica mocas walinidaka kona ya nyasho jioni ilikua balaa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.