Joanah
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 24,856
- 89,755
Hacha majivuni bro 😅
Braza HUSILETE ukuda kwenye uzi wa watu
Hacha majivuni bro 😅
😂Braza HUSILETE ukuda kwenye uzi wa watu
Mimi nasema punguza mazoea ya kimamlaka,jana sio leo wala juzi sio jana,ona yanaenda kuwatokea puani hivi punde!Unaweza kuwa maarufu au mashuhuri katika mahali pa kazi. Lakini amini siku ukiachishwa kazi leo, hakuna mtu atakae wasiliana na wewe baada ya wiki kupita.
- Punguza umbea kazini
- Hacha majisifu na majivuni
- Hacha mahusiano ya mapenzi kazini
- Mambo ya kifamilia husilete kazini
- Fanya kazi yako
- Pokea mshahara wako
Cc mastering manhood