Linda Mulungi pole sana and may your soul rest in peace. Nimeskitika sana kusikia yaliyo mkuta Linda. She was such an amazing girl. I really hope and pray her family watachukulia atua hiyo hospital.
Ahsanteni sana kwa hii topic. Mimi binafsi nilijaribu vidonge kwa kipindi kifupi lakini niliumwa sana (headache, kizunguzungu, mapigo ya moyo kwenda kwa kasi sana and nilipoteza hamu ya sex kabisa). Niliamua kutumia calender mpaka leo hii.
Hivi kwa watu walio Tanzania inawezekana kuomba kipindi...
Binafsi I don't know why people cheat. Unakuta watu wengi especially women end up stepping out their relationships/marriages (start sleeping around) cause somebody cheated on them. Dont let a cheater change who you are! Do not block your blessing from our God Almighty so you can get even with...
Hapa kuna tatizo kubwa sana. Lets be honest, hakuanza hii tabia leo wala jana. Inawezekana alianza zamani ila recently it has gotten worse. Inaonekana mama ana hasira sana sasa hatujui ni hasira na wewe or kuna kitu kina mletea hasira. Mimi kama mwanamke siwezi mwambia mwanaume wangu akalale...
Mpaka shemeji kuwa comfortable kiasi hicho kukuonyesha mambo hayo kuna mawili:
1. Is it possible kwamba shemeji yako kaisha kuona na wewe unafanya hivyo (cheating on your wife/girlfriend/fiancée)? People tend to get comfortable to do these sort of things in front of you if they know you can't...
Binadamu tuna vituko!!!! wewe kama umeoa na unampenda mke/mme wako WHY WOULD YOU PUT YOURSELF IN THAT POSITION to start with. You might save few dollars but lose your marriage!
Asanteni ndugu zangu wana JF!
Nilikuja hapa kuomba ushauri nikijua ni mkosefu.
Lakini mwanume anayeniita mimi mjinga,sina akili, sina dini-namuombea asije kabisa akapatwa na mwanamke wa design hii iliyoniangukia, na sijui kwanini wanaume wengi hujidai wao ni wataalamu wa kukwepa wanawake wakati...
Na mimi habari za ku chat na ex hapana. call me insecure or whatever but when comes to ex, let them be ex (exit). Mliisha achana sasa mambo you ku keep intouch ya nini. You should be investing time in finding new partner if you are still single or in your current one. sometime cheating doesnt...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.