Recent content by naturalistman

  1. naturalistman

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Hapo umechambua vizur sana big up
  2. naturalistman

    Na hizi ndio sababu kwanini nimepunguza trip za kwenda Kanisani

    Nibora ukawashauri kuliko kutokwenda kumwabudu Mungu, wanadamu wasiwe kikwazo kwako Na ukatoe kile ulicho nacho sio kuangalia wingi wa sadaka Sent using Jamii Forums mobile app
  3. naturalistman

    Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Walimu daraja 111c ni 733000 basic , take home 460000 Sent using Jamii Forums mobile app
  4. naturalistman

    TBC leo mmeitendea haki habari ya Maalim Seif

    Hapo umenena aisee nimeiona hii movie ni hatar sana baadae Kwa ccm Sent using Jamii Forums mobile app
  5. naturalistman

    Wale ambao hatutampigia kura mgombea yeyote wa CCM tukutane hapa

    Naunga mkono maana Hali ishakuwa ngum Sent using Jamii Forums mobile app
  6. naturalistman

    MBOWE: Safari ya Kigoma inaendelea (baada ya Lowassa kurudi CCM)

    Kifungo cha waheshimiwa sikama chetu walala hoi Sent using Jamii Forums mobile app
  7. naturalistman

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Udom hawahitaji watu kujenga msikiti hapo bali unaomba chumba Kwa ajili ya Sala, mbona hata makinisa mengine wanafanya hvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  8. naturalistman

    Misaada yaanza kupukutika: Kondom za bei rahisi zaadimika, Bado ARVs

    Kuna changamoto nyingi sana kwenye taifa hili Sent using Jamii Forums mobile app
  9. naturalistman

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Boresheni huduma ya sm bank badala ya kujaza form tuwe tunajisajili kwenye ATM Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom