https://youtu.be/3qb3MDqtYOE?si=ucqZV9XhygJE-DNz
nachomeka huu wimbo apo chini ulonifanya nianze kuchungulia rock n roll kisha kutafiti hadi kina Chuck Berry waanzilishi... si unajua tulizoeshwa eti rock n roll ni za wazungu tu
https://youtu.be/4B_UYYPb-Gk?si=tjXogv9dExaq4k_F
Hawa wasanii mara nyingine wana bifu za kibiashara ambazo si za binafsi... ila nna uhakika walikuwa na ushindani mkali sana kama simba na yanga hata kuonekana kama wanachukiana sana
mfano Tupac na Biggie, ukifuatilia kiundani hawakuchukiana... tena labda pdiddy alimtoa biggie akitumia east...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.