Recent content by Nathd

  1. Nathd

    JamiiForums Tanzania BABA kumlilia mtoto wa kike anapoolewa, tunajifunza nini

    Ujinga
  2. Nathd

    JamiiForums Tanzania Tamthilia ya Kichina 'DODOU NA MAMA WAKWE ZAKE'

    Habari wana Jf Ni muda mrefu nimekuwa nikiitafuta hii tamthilia ya Kichina iliyokuwa ikioneshwa TBC kwa lugha ya kiswahili lakini Sijafanikiwa kuipata. Nimejaribu kugoogle kila aina ya context pia sijafanikiwa kuipata na kwa bahati mbaya hata sijui inaitwaje kwa lugha ya Kichina Mtu yeyote...
  3. Nathd

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kutoa manii (ku-ejaculate) kila nipatwapo na hofu

    Acha uzembe. Mwanaume kuwa bikra haipendezi.jaribu uone kama itajirudia Nenda kwa mtaalam wa afya na psychology
  4. Nathd

    JamiiForums Tanzania Msaada: Sijawahi mpata mwenye bikira

    Why are men so obsessed with 'bikra' !!!
  5. Nathd

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Ubalozi wa Marekani kuomba Hifadhi ya Ukimbizi, naombeni Muongozo.

    [emoji15] [emoji845] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  6. Nathd

    JamiiForums Tanzania Nataka kwenda Ubalozi wa Marekani kuomba Hifadhi ya Ukimbizi, naombeni Muongozo.

    Sifa ya mkimbizi ni kukimbia! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mbona wanaotokaga Burundi wanakujaga wakiwa wanatembea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  7. Nathd

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mama mzazi wa Mshana Jr amefariki dunia

    Kipindi hiki cha magu, watu watakuwa wanaupdate misiba ya Kipindi kileeeee ili wapate rambirambi
  8. Nathd

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Tena kumbe yupo boarding. Basi chakula na psychology ya akili ndo inaweza ikawa sababu, na kama wanakula maharagwe kila siku, maharagwe huchangia mtu kukosa hedhi japo hutegemea na jinsi mtu alivyo
  9. Nathd

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ampigia simu MwanaFA na kumwambia anapenda kazi zake hasa Wimbo wa Dume Suruali

    Mwana FA si pia aliwahi kupigiwa simu na Kikwete enzi za utawala wake? Au alikuwa msanii gani?
  10. Nathd

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alivunja ungo akaona siku zake ila sasa hazioni

    Ni kawaida sana Miaka 13 mdogo sana bado Huwa inastua then inaacha, akifika angalau miaka 14 15 itaanza rasmi. Akipita miaka 16 hajapata siku zake hapo ndipo aanze kuonesha wasiwasi Pia aangalie mazingira anayoishi yakoje, anamsongo wa mawazo? Tatizo la hofu, wasiwasi? Chakula je anachokula...
  11. Nathd

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imegoma kuwaka

    Hatua niliyochukua ni kununua laptop mpya
  12. Nathd

    JamiiForums Tanzania Mwili wa marehemu Sir Andy Chande wachomwa moto

    Sio wote wanaoenda ni Freemason.anaweza akaenda kwa kuzingatia aliekufa ni mtu maarufu mbali ya kuwa Freemason
  13. Nathd

    JamiiForums Tanzania Mwili wa marehemu Sir Andy Chande wachomwa moto

    So huyo amekufa kifo cha kawaida sio? That's why wanamchoma?
  14. Nathd

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imegoma kuwaka

    Nimeenda kwa fundi Ni kwamba motherboard imeharibika
  15. Nathd

    JamiiForums Tanzania Laptop yangu imegoma kuwaka

    Basi yangu imeshapoa lakini kuwaka imekataa
Back
Top Bottom