Recent content by nassa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mchumba mlokole

    Dah nimeikosa hiyo chance tatizo m mweusi
  2. N

    JamiiForums Tanzania Land Surveyor anahitajika haraka

    Ma surveyor tupo mnataka uzoefu wa muda gani toeni maelezo yaliyojitosheleza yakitaja ni vigezo gani mnataka awe navyo.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Msaada nipo njia panda kati ya nokia n8 na sumsung galaxy siii clone

    Jamani hyo N8 ndo inauzwa bei gani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Ardhplan wameita

    Ndio usaili wa pili (oral) ulifanyika alhamis iliyopita
  5. N

    JamiiForums Tanzania Ardhi plan call for interview

    Hawa watu hii ndo mara yao ya kwanza kuajili wafanyakazi waliopo pale siyo parmanent kwa hiyo kuhusu malipo watakopata nafasi ndo watajua
  6. N

    JamiiForums Tanzania ajira mpya za walimu 2013-2014

    SN BARRY umenikumbusha mbali sana ifunda the glorious
  7. N

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani

    Samahani ndugu zangu star tv kwenye ka dstv kangu haina sauti kabisa lakini channel zingine zote zinatoa sauti cjajua tatizo ni nini.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Estimate Number Of Blocks

    9 blocks
  9. N

    JamiiForums Tanzania Misemo ya BONGE WA CLOUDS FM akimaliza!!!

    maua ya kwenye shuka hayanukii
  10. N

    JamiiForums Tanzania Hii michango sasa imezidi

    Jaman kuna m2 leo kaniletea kadi nimchangie 15000 kwa ajili ya graduation ya darasa la 7 ya mwanae, ikifika harusi je itakuwaje?
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ni msichana gani atakataa baada ya haya?

    Kwa styl hyo utakuja toswa vibaya ww, unadhan hzo pesa utakuwa nazo cku zote? Mapenz c gharama hvyo, labda uwe unataka kumgonga mara1 nakusepa.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa haraka jamani

    Pole ndg yangu, bt unaweza kuacha ukiamua kuwa jasiri
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ameniomba nimtaftie mwanamume wa kumliwaza

    Nakwambia ukiendelea hvyo lazima serengeti boy akusaidie kazi, we c umesusa wenzio watakula.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Je veet ina madhara?

    Samahan wana jf naomba kuuliza je ile veet dawa ya kuondoa vinyweleo ina madhara kwa mtumiaji?
Back
Top Bottom