Je veet ina madhara? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je veet ina madhara?

Discussion in 'JF Doctor' started by nassa, Sep 14, 2012.

 1. n

  nassa Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: May 8, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Samahan wana jf naomba kuuliza je ile veet dawa ya kuondoa vinyweleo ina madhara kwa mtumiaji?
   
 2. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mh leo naona kila ninapoingia naona GIZA tuu...
  naona majanga
   
 3. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  majanga majanga,mi naona kama napishana na sredi za maana vile
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkuu kitu unapaka nywele zinatoka kwa hesabu za cheke chea tu hii kitu Ni balaa hauko mbali na cancer ya ngozi
   
 5. M

  Madoido Senior Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Da e bwana, mimi nimetumia sana na nahisi ina madhara,especially kama unatumia sehemu za siri, muwasho na hofu ya kansa
   
Loading...