Mshambuliaji wa Brentford, Ivan Toney, amefungiwa kujihusisha na mpira kwa miezi minane kwa kosa la kukiuka sheria za chama cha soka cha England, FA, kuhusu kubeti.
Kifungo chake kutaisha Januari 16, lakini zaidi ya kufungiwa, Toney pia amepigwa faini ya pauni 50,000 ambayo ni sawa na shilingi...