Recent content by NASEEB HASSAN

  1. N

    Msaada : Kuhusu account iliyofungiwa na Instagram

    NAOMBENI KUJUZWA JINSI GANI NAWEZA KURUDISHA ACCT YANGU ILIYO FUNGIWA NA INSTAGRAM KIMEKOSA
  2. N

    Meseji zangu zimefumaniwa na mchumba wangu

    Massage tu ndo iwe ivyo wadau npeni mbinu hapa mi siwezi kurudia kosa tena
  3. N

    Meseji zangu zimefumaniwa na mchumba wangu

    Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyo jieleza sms za mpenzi wangu zimefumaniwa na mchumba wangu kipindi nimeacha Simu ndani nimeshindwa jinsi ya kujitetea kabisa ivi ameondoka kaenda kwao na kanitumia sms kuwa nisimzoee tena na vitu vingi tu sasa wana jamii nipeni mwongozo nifanyeje nimtumie...
  4. N

    Natafuta mume mwenye VVU

    utapona tumia dawa tu dear
  5. N

    Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

    Umeongea vizuri tena kwa kujiamini ila n rahisi sana ukitaka kujua kama Mungu yupo japo kuwa tukifa hatujui uwa tunaenda wap hilo ndo tatizo mungu yupo sema hujataka kujua tena indicator zIpo nyingi sana mkuuu
  6. N

    Hivi kwanini Waamerika walimchagua Trump?

    Unaulza jbu si kwa sababu walimchangua
  7. N

    Napenda sana kitumbua kinene!

    Daaah nlivyo kimbilia huu uz we sir yangu tu mana nsha choshwa na siasa
  8. N

    TANGO NDIZI KAROTI USILE

    N vtamin chief usiwaze endelea kula matango ya kina dada
  9. N

    TANGO NDIZI KAROTI USILE

    Daah unajskiaje mkuu
  10. N

    TANGO NDIZI KAROTI USILE

    N vzur unanua matunda kwa yule dada ila sio wote endelea kula matunda upate afya
  11. N

    TANGO NDIZI KAROTI USILE

    Kwan ulikula matango ya watu dada wa jiran
  12. N

    TANGO NDIZI KAROTI USILE

    My brother ukija kukuta ndizi,tango,na karoti kwenye friji la mwanamke ambae yupo singo,,usile,,,narudia tena usile _USHAURI WA BURE NIME WAPA_
Back
Top Bottom