Hivi kwanini Waamerika walimchagua Trump?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,373
73,975
Hana qualities zozote za kuwa rais wa taifa kubwa kama lile. Kinachosaidia ni kuwa kuna checks and balances zinazofanya kazi kweli kweli vinginevyo USA ingelikuwa kama Tanzania, Rwanda, Burundi and many other shithole countries!
 
Kwa wingi wa kura (wananchi) wamarekani walimchagua Hilary, lakini kuna kitu kinaitwa electoral college (aina fulani ya wawakilishi kutoka kila jimbo) kilimchagua Trump. Ni system flani ya kushangaza hivi
 
Wamarekani huwa hawapangiwi...

Walimchagua Obama mtu mweusi, tena generation ya kwanza toka Afrika...
 
Hana qualities zozote za kuwa rais wa taifa kubwa kama lile. Kinachosaidia ni kuwa kuna checks and balances zinazofanya kazi kweli kweli vinginevyo USA ingelikuwa kama Tanzania, Rwanda, Burundi and many other shithole countries!
Na watamchagua tena 2020.Ni kweli ana mapungufu yake lakini kwenye swala la Uchumi yuko powa sana tu.Hili swala kila Mmarekani analijua kwamba Trump ameleta hope kwenye uchumi na ajira,makampuni yanarudi ku invest home kutokana na privilege alizoziweka Trump,Marekani kwa sasa inahimarika sana kiuchumi na nguvu,Hilary asingeweza kupambana na China kwenye masuala ya Uchumi. Obama alikuwa Soft sana kwenye economic policies,China ili take advantage sana kipindi chake.
 
Wamarekani huwa hawapangiwi...

Walimchagua Obama mtu mweusi, tena generation ya kwanza toka Afrika...
BTW Yule bibi alikuwa hana sababu nyingine ya kuwa rais zaidi ya kuwa mwanamke wa kwanza kuwa rais wa USA...Afadhali Trump alikuwa anasema "Make Amerika Great Again".
 
wamerekani kama wamerekani hawakumchagua trump.. kwa wingi wa kura za wananchi alishinda Clinton ila trump akabebwa na elector colledge votes.... syteam ambayo naona inapingana na demokrasia wanayoipigia kelele
Yule Bibi ndo angekuwa kimeo kabisa,afadhali Trump.Alikuwa hana sababu ya kuwa rais zaid ya umwanamke wake basi.Sera zake ni zile zile za Obama ambazo wamarekani walishazichoka.Amerikans walikuwa wanataka real things siyo story story kama unafanya motivation speech.
 
Na watamchagua tena 2020.Ni kweli ana mapungufu yake lakini kwenye swala la Uchumi yuko powa sana tu.Hili swala kila Mmarekani analijua kwamba Trump ameleta hope kwenye uchumi na ajira,makampuni yanarudi ku invest home kutokana na privilege alizoziweka Trump,Marekani kwa sasa inahimarika sana kiuchumi na nguvu,Hilary asingeweza kupambana na China kwenye masuala ya Uchumi. Obama alikuwa Soft sana kwenye economic policies,China ili take advantage sana kipindi chake.
Labda Ile slogan ya "We want to make America great again" nadhani iliwavutia sana Waamerika, but had it not been that USA has strong checks and balances, USA could have slipped into dictatorship!
 
wamerekani kama wamerekani hawakumchagua trump.. kwa wingi wa kura za wananchi alishinda Clinton ila trump akabebwa na elector colledge votes.... syteam ambayo naona inapingana na demokrasia wanayoipigia kelele
Ungejua kwanza ni kwa nini wazee waliweka hii system kutokana na mfumo wa marekani...Hujui hata electoral college votes zinatokana na mtu kushinda jimbo husika kwa kura nyingi?.Huwezi kupata Electoral Vote kama hukushinda jimbo husika...
 
Labda Ile slogan ya "We want to make America great again" nadhani iliwavutia sana Waamerika, but had it not been that USA has strong checks and balances, USA could have slipped into dictatorship!
The guy is good kwenye Economic issues.Wamarekani wanaamini uimara wa nchi yao ni Jeshi na Uchumi.Hata 2008 kilichompa kura Obama ni sera za kuinua uchumi kutokana na anguko lile la 2008.Sasa yule bibi alikuwa anatoa motivation speech tu,hakuwa real kabisa,CNN & Co ndo walikuwa wanamjaza akaamini kabisa 99% atashinda.Dunia ya saaa ina move,watu watakuwa kupenda kuongozwa na ma nationalist kuliko motivation speakers kama Kina hilary na Obama.
 
Umetoa sababu ya msingi. Hata Reagan walimchagua kwa vile aliwahakikishia ulinzi wa nchi yao... kuwakinga na mashambulizi wa imani kali za kidini!
 
Ungejua kwanza ni kwa nini wazee waliweka hii system kutokana na mfumo wa marekani...Hujui hata electoral college votes zinatokana na mtu kushinda jimbo husika kwa kura nyingi?.Huwezi kupata Electoral Vote kama hukushinda jimbo husika...

nina ielewa vizuri sana hyo systeam inavyofanya kazi na hadi sababu za kwann iliwekwa... ila nilichoongelea hapo ni ile majority vote ya wananchi tumezoea wengi wape na siyo kuangalia umeshinda jimbo gani na kwa kura ngapi.... mimi ninavyoelewa demokrasia ni wengi wape kwangu mimi huo systeam siyo demokrasia kabisa
 
Hivi ni kwanini watanganyika walimchagua Magufuli wakati wanajua kabisa hakuna check and balance?
 
Yule Bibi ndo angekuwa kimeo kabisa,afadhali Trump.Alikuwa hana sababu ya kuwa rais zaid ya umwanamke wake basi.Sera zake ni zile zile za Obama ambazo wamarekani walishazichoka.Amerikans walikuwa wanataka real things siyo story story kama unafanya motivation speech.
Motivation speech hazina uhalisia eeeh?
 
Back
Top Bottom