Recent content by Nargis

  1. N

    Ushauri kwa huyu mwenzetu, muda wowote anaweza jiua

    umesema kweli I salute you smileagain.
  2. N

    Epuka kufanya mapenzi bafuni au chooni

    yani umenichekesha miss chagga leo kwa kauli yako hii mmmh
  3. N

    Wanawake hivi huwa mnataka nini haswa kutoka kwa wapenzi wenu?

    karibu sana jje's.nimependa sana ulivyo comment. mimi huwa sipendi ku comment but vitu vikizidi yani mmmh!!! inanibidi ni comment. Umesema kweli kabisa jje's. Uwepo wa emotional zetu za kike kike si kizingiti na wala si sababu ya kutuzuiya sisi wanawake tunao jielewa kutokujua nini...
  4. N

    Wanawake hivi huwa mnataka nini haswa kutoka kwa wapenzi wenu?

    well said jje's chukua likes zote
  5. N

    Udhaifu wa Mwafrika

    well said chukua likes
  6. N

    Udhaifu wa Mwafrika

    kweli tupu;chukua like
  7. N

    Udhaifu wa Mwafrika

    umenena ukweli mtupu na nivema tukaka chini na kuyafanyia kazi haya uliyonena.chukua LIKES Zote.shukran sana
  8. N

    Rafiki yangu hataki kupokea simu yangu wala kuniambia nimemkosea lipi nifanye nini?

    waiyyakum/wa antum fa jazakhum Allahu khayran.Na Allah ma amen kwa sote Allah atujaliye kila la kheir hapa duniani na kesho akhera.Allah ma amen.shukran sana.
  9. N

    Rafiki yangu hataki kupokea simu yangu wala kuniambia nimemkosea lipi nifanye nini?

    I like it mashallah hms Allah akubarik sana kwa kumpa mtoa madaa hekma nzuri sana na wenginewe tumefaidika nayo.mashallah.
  10. N

    Andrew Nyerere on Mwalimu humble children!

    ebaeban wewe ebaeban mbona huna adabu hata ya kuvalia nguo yako.unasubutu kweli kumtukana mwanamke hivyo.kweli. huna mzazi wa kike wewe au ndugu au jamaa wa kike au mke katika ukoo wenu.huoni hata vibaya kuja katika mtandao na kutukana hivi.kweli asiye leleka utamjua tu.na mkuu wa hii blog una...
  11. N

    Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

    mmh!!! umeniacha hoi!!! kwa kweli huwa sipendi kuchangia but watu kama wewe faiza foxy wenye hikma ya ujuzi wa mambo na matukio yanayotendeka duniani huwa wananivutia sana mpaka naacha comment japo kidogo.Kwa kweli wewe ni great thinker's na uchangiaji wako humu katika jf ni muhimu sana na ni...
  12. N

    Taazia: Ebby "Ebrahim" Sykes, 24 Februari 1952 - 15 Februari 2015

    pegine nitakuwa nakujua/nakufahamu, nani mwanzangu? kama hutoona taabu kusema.Binadamu kufahamiana.
Back
Top Bottom