Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Papa Francis atoa ishara za kujiuzulu

Status
Not open for further replies.
Isitoshe, hata alipoulizwa huyu Papa wa sasa kuhusu ushoga, akajibu "kwani mimi ni nani?" hata nikemee ushoga!
Kote umeandika vizuri sana na ninakubaliana nacwewe pasi shaka.
Ila shenu hii ya mwisho...HAPANA!
Hapo umemlisha maneno.
 
Huyu kashajua habari ya kuwapo kwa mungu ni uzushi na hivi anaona haya kuendeleza uzushi huo.

Ashaulizwa swali na mtoto huko uFilipino, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote karuhusu ulimwengu ambao watoto wadogo inabidi wajiuze ili kuishi, akakos jibu akasema hajui.

cc: Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:
Dah! Leo nimepata maarifa tosha kuhusu ukatoliki na majanga yao,
kumbe wasanii tu kwa kuwaponda waislamu tu wanaongoza. Kim nana njoo huku upate maarifa mapya.
 
Last edited by a moderator:
Three corporations that control this world:

1. The City of London "The Crown"
2. The Federal Reserve of America
3. The Vatican

Wote hao wapo kwa ajili ya kufanikisha mipango yao ya ki masonic.

Vilevile Corporations zipo katika miji mitatu tu Dunuani

1. London
2. Washington DC
3. Vatican
 
kahtaan

PIA Kanisa katoliki limechakachua amri kumi za Mungu.
 
Last edited by a moderator:
Huyu kashajua habari ya kuwapo kwa mungu ni uzushi na hivi anaona haya kuendeleza uzushi huo.

Ashaulizwa swali na mtoto huko uFilipino, kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote karuhusu ulimwengu ambao watoto wadogo inabidi wajiuze ili kuishi, akakos jibu akasema hajui.

cc: Nyani Ngabu

We muimba taarabh Kuna mtu amekualika hapa kuja kumwaga uharo wako?
Maswali mangapi nimekuuliza lkn Hujatoa jibu hata moja!

Nakuuliza tena km wewe unajifanya una majibu yote KIFO ni nini? Na tuposema dada Kiranga KAFA au Shangazi Nyani Ngabu kafariki hapa kilichokufa au Kufariki kwa hao kina mama wawili ni kipi hasa?

Hebu toa jibu km kweli wewe una busara alongside your missus!
 
Last edited by a moderator:
Papa Benedict alikuwa ni Papa wa kwanza kuwachia ngazi baada ya takriban miaka 600.

Kabla ya kuwachia kwake ngazi kuna mambo muhimu na ya aibu kubwa sana yalifichuliwa pale Vatikan na msaidizi wa Papa wa ndani (Butler) Paolo Gabriele ambae aliyavujisha ili ulimwengu uelewe madudu yaliyopo ndani ya Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Vatikano ambayo huyo msaidizi wa Papaalisema kaamuwa kuvujisha kwa kuwa alikuwa "hafurahishwi nayo".

Muda mfupi baada ya Paolo Gabriele kuvujisha siri hizo na baada ya kujaribiwa kufichwa fichwa na Paolo kuwekwa ndani kwa miezi mitatu kufunika kombe mwanaharamu apite, wakajuwa ndiyo yameisha.

Hamadi! kukazuka kashfa lingine kubwa kuliko alilovujisha Gabriele nalo lilitokana na kuvujishwa ripotu ya makadinali ya ndani ya Vatikan, ripoti ya kurasa 300 iliyokuwa ni siri kubwa sana, ikavujishwa kwenye gazeti mojawapo la Italia na kuanza kuoneshwa vipande vya ripoti kwa ulimwengu, vipande hivyo vilikuwa na uozo kila namna wa kuanzia ushoga mpaka jinsi wakuu wa Kanisa wanavyolawitiana wenyewe kwa wenyewe na kulawiti watoto na kujihusisha na Umalaya wa kiume na wa kike. Ukaonesha jinsi Kanisa linavyojihusisha na kusafisha fedha haramu za madawa ya kulevya na mengi mengineyo.

Hayo ndiyo yaliyomfanya Papa Benedict kuwachia ngazi.

Huyu Papa wa sasa kuwachia kwake ngazi wala sintoona ajabu, kwani hayo yaliyomuondoa Benedict aliyarithi na yalikuwa "hayajazimwa" wala Kanisa halijachukuwa hatu za kujirekebisha, makadinali mashoga wameendelea kuwepo Vatikano na umalaya wa kiume na wa kike kwa makadinali umeendelea kuwepo na benki ya vatikano ilijihusisha na fedha haramu ipo na uongoozi ni ulele.

Isitoshe, hata alipoulizwa huyu Papa wa sasa kuhusu ushoga, akajibu "kwani mimi ni nani?" hata nikemee ushoga!

Utajaza mwenyewe.

mmh!!! umeniacha hoi!!! kwa kweli huwa sipendi kuchangia but watu kama wewe faiza foxy wenye hikma ya ujuzi wa mambo na matukio yanayotendeka duniani huwa wananivutia sana mpaka naacha comment japo kidogo.Kwa kweli wewe ni great thinker's na uchangiaji wako humu katika jf ni muhimu sana na ni mkubwa.Thank you kwa kutujuzu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom