Recent content by NapigA

  1. N

    JamiiForums Tanzania Unajuaje kuwa una akili au huna?

    Naona inakuwa ngumu. Ngoja niulize Lara1 anazo au hana Sent using Jamii Forums mobile app
  2. N

    JamiiForums Tanzania Unajuaje kuwa una akili au huna?

    Hebu tujuzane Unajuaje kama una akili au Huna akili Sent using Jamii Forums mobile app
  3. N

    JamiiForums Tanzania Lipi ni jiji zuri kati ya Arusha na Mbeya

    Mbeya bado sana. ..nimejaribu tu kuangalia hotel nikaona jinsi zilivyo achwa mbali. A TOWN hata Dar inasubiri. Kenya issue ya Quality na sio Quantity Dar ni Quantity tu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. N

    JamiiForums Tanzania Yanga: Tunawapongeza Watani Zetu

    Tusiwe wanafki Yanga wamejitahidi wasifungwe nyingi na Azam Sent using Jamii Forums mobile app
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Trafik wanakula hela nyingi za dereva kwa kutokujua sheria

    Point noted. .. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Trafik wanakula hela nyingi za dereva kwa kutokujua sheria

    Hapo inategemea busara ya trafiki. ..ndio maana nimeuliza muda Sent using Jamii Forums mobile app
  7. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Trafik wanakula hela nyingi za dereva kwa kutokujua sheria

    Usimame kwa muda gani. ..hapo ndio shida inapoanzia ndugu trafic Sent using Jamii Forums mobile app
  8. N

    JamiiForums Tanzania Nimegundua Trafik wanakula hela nyingi za dereva kwa kutokujua sheria

    Trafik wa Iringa wqnabambikia madereva kosa la kusimama Zebra hata kama hamna wanaovuka. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania HELSB: Bodi ya Mikopo Elimu lipeni Refunds

    Wakuu kuna mdau namfahamu anadai refund HELSB ..alikatwa zaidi ya alichokopeshwa na HELSB walifanya hesabu na kujua kweli wali overdeduct sasa zaidi ya miaka mitatu refund haijalipwa. Najua wahusika mnapita huku. ..embu fuatilieni refunds ni jambo linatia aibu taasisi haiwezekani ichukue muda...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Masha: Kweli Fastjet inadaiwa lakini mamlaka zingeshirikiana nami ili zilipwe

    Nilipita Arusha..nimeona wanatoa thaman za ofisini Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Kusimanga: Umewahi kufuma/Kufumwa

    Hii naiita Starter. ..unakuta una katabia flani au mtu ana katabia flan alafu mnaongea polepole kumbe mhusika anakusikia
  12. N

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanawake wenye akili na heshima hatuolewi?

    See...wamekuraruua Nani ataoa majeruhi wa mapenzi
  13. N

    JamiiForums Tanzania Nimechoka sana na maisha

    Nimeona nisipite kimya kimya. .. 1.kitu Ulichofanya ...kinakutesa sababu haujajisamehe. 2.Kuwa mtu wa kusali ili usimpe shetani ushindi NB: Mungu ana jambo na wewe. ..jipe moyo
  14. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Christmas: Mtumie Salamu Rafiki, Ndugu, Jamaa

    Mimi namtumia Salam za Christmas Lara1. Ujumbeee 2019 story ziwe back to back
  15. N

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Christmas: Mtumie Salamu Rafiki, Ndugu, Jamaa

    Kama uzi unavyojieleza kipindi hiki cha sikukuu mkumbuke, Mtumie Salam .Rafiki, Ndugu, Jamaa
Back
Top Bottom