Sijaona hata mmoja kataja Kijiji jina zaidi ya balabla tu,hivyo vijiji vilishaisha almost miaka saba ama kumi nyuma mahitaji ya msingi vijijini kote sasa hivi ni mfuko wako tu hata mijini kama mfuko wako mdogo utakula za uso tu,Dunia ishakua Kijiji hii mwenye maarifa ndo anaishi kiwepesi iwe...
Hongera sana mkuu kwa kutoa elimu,binafsi naomba ushauri paa langu limepauka sana hadi linaanza kuota kutu yani hadi nyumba naanza kuichukia bila shaka niliuziwa bati fake lakini haivuji,je njia gani sahihi kurudisha muonekano mzuri tofauti na kupaua tena kwa bati zingine!Asante.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.