Vibaka, wezi, panya road wanazidi kuadimika mitaani

Last two weeks tulizika vijana wawili, walijifanya bingwa sana wakaingia dukani mchana kweupe, wakamkata mhudumu mapanga, kilichowakuta...walichomwa pamoja na bodaboda yao.

Likewise, wezi wa kalamu nao waandaliwe namna yao. Wanaliibia taifa kila siku na hatuwezi kufanya lolote tena billions of money.
Hii pande zetu naipata kule chini kanIsani,kwema jirani?
 
Ni mkakati unaoratibiwa kwa usiri mkubwa sana! Kwa sehemu sio vibaya kuupongeza japo kuna makosa ya kibinadamu kwa kukosea target ama kuchomekewa asiye husika!

Siku hizi ukipelekwa polisi kwa kesi ya wizi hasa huu wa kupora, kukaba watu vichochoroni, ama kuiba majumbani ukifikishwa huko salama na kufanikiwa kupandishwa kizimbani katambike kwenu kwa mizimu yote yote ya kwenu na ukoo wenu Wote.

Wenye hali mbaya zaidi ni wale ambao tayari wana faili huko police... Watalala wakipumua lakini hawata amka tena...!!! Kuna ziraili mtoa roho hupita mahabusu usiku na kuondoka na watu wake!

Fundi wangu wa ujenzi Twalika kalala mahali pema huko makaburini .. Kumbe alikuwa na kazi nyingine ya overtime kiza kkiingia na wananchi wakiwa wameshalala kabisa

Alitoka kwenye pombe mida ya saa sita usiku lakini saa tisa alfajiri akakutwa kwenye dari ya watu na zana zake za overtime.. Wakamfinya kisawasawa lakini hawakummaliza.. Kulipopambazuka akapelekwa kituo kidogo

Akapatiwa huduma ya kwanza kwenye zahanati karibu na hicho kituo akipata nafuu kidogo.. Wakati ndugu wanajipanga kwa dhamana ya mchongo wakubwa kituoni wakaona ndugu wako mwendo wa kinyonga.. Ilitakiwa 150K

Wakapiga simu kituo kikubwa likaja difenda na wale ndugu wale.. Kufika hawakutaka la mwadhini wala la mnadi swala! Wakamtupia mtuhumiwa kwenye difenda kama kiroba wakaondoka naye..

Hiyo ilikuwa asubuhi ..kabla jua halijazama tukapokea habari za huzuni kubwa! Twaliha alizidiwa kituoni wakati wakijiandaa kumpeleka hospitali kubwa!

Inasemekana pale alikuwa na faili lenye kesi mbili!
Pombe
Kipigo
Njaa.... Hakuna wa kulaumiwa...!!!!
Ikaisha kama hivyo .. Tumezika juzi..

Zaidi soma

Aisee
 
Last two weeks tulizika vijana wawili, walijifanya bingwa sana wakaingia dukani mchana kweupe, wakamkata mhudumu mapanga, kilichowakuta...walichomwa pamoja na bodaboda yao.

Likewise, wezi wa kalamu nao waandaliwe namna yao. Wanaliibia taifa kila siku na hatuwezi kufanya lolote tena billions of money.
madale hii. nilikuja pande hizo nikahadithiwa huo mkasa
 
ni vizuri kuridhika na kidogo tunacho jaaliwa na Mungu kihalali kwenye mihangaiko na majukumu yetu mbalimbali yakutupatia riziki...

kwakufanya hivyo tuaweza kukwepa au kuepuka kirahisi ambacho kimewakumba hao ndugu zetu ambao leo hatuko nao kwa stayle ya kusikitisha lakini zaidi sana kufedhehesha mno...

Jitihada za kutokomeza aina hiyo ya uhalifu ni mipango mizuri ya serikali yenye lengo la kuimarisha amani na utulivu miongoni mwa waTanzania wanao jishughulisha na shughuli mabalimbali za kujopatia kipato, licha ya kasoro kidogo zinazolalamikiwa na wananchi ingawa pia zinarekebishwa na kusahihishwa ili zifanyike vzuri zaidi....

R.I.P Laigwanan comrade ENL
 
Last two weeks tulizika vijana wawili, walijifanya bingwa sana wakaingia dukani mchana kweupe, wakamkata mhudumu mapanga, kilichowakuta...walichomwa pamoja na bodaboda yao.

Likewise, wezi wa kalamu nao waandaliwe namna yao. Wanaliibia taifa kila siku na hatuwezi kufanya lolote tena billions of money.
Likewise, wezi wa kalamu nao waandaliwe namna yao. Wanaliibia taifa kila siku na hatuwezi kufanya lolote tena billions of money.[emoji419][emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom