Recent content by Nangwa

  1. N

    JamiiForums Tanzania Wanaokesha kwa ajili ya ukombozi wa Taifa, Karibuni Hapa

    acheni ubabaishaji
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la kufungua vituo saa moja tume wamechemka

    Hajui kigoma, rukwa, kagera jua huchomoza saa 0730hrs acha uzembe, fanya utafiti kwanza. Tanzania ni kubwa.
  3. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waigawa UKAWA kabla ya UCHAGUZI

    HAPA KAKONKO NA KIBNNDO, KIGOMA, UKAWA walikubaliana kuwa NCCR wagombee, lakini cha ajabu, hata CHADEMA wamesimamisha wagombea akina KASUKU BIRAGO! Inaonesha dhahiri kuwa muungano wao upo na maslahi yaliyo nyuma ya PAZIA.
  4. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kingereza ni kigumu vyuoni na mashuleni lakini si kitandani bwana..!!

    HAPANA, HIYO MBONA IPO. /beiby ai lav yuu/, /aaigh/, /beiby am coming, /eat your fruits/, /you are so sweety/
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hongera Mhe. Nyalandu Wizara yako kutoa Ajira 500

    Kapigwa chini
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi Zile Kura 6 Zilizoharibika Siyo Za Hawa Kweli?

    Ondoa karume
  7. N

    JamiiForums Tanzania Doctor John Pombe Magufuli Special Thread

    Nyumba zipi?
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaoolewa ni darasa la saba na form 4

    Wanawake wenye ajira serkalini 98% na wenye DEGREE 99% lao ni moja tu. NDOA NI ZA DRS 7 NA F4, WENYE DGRII WANA VIBURI UTAFIKIRI WANA IC KWENYE IC, WANAOLEWA NA DGRI ZAO! MIFANO IPO MINGI TU!
  9. N

    JamiiForums Tanzania Hatima ya wahusika wa vyeti feki ndani ya Jeshi la Polisi

    Ukiwafukuza wataunda jeshi lao mtaani, jamii itapata shida, uhalifu utaongezeka, na tukisema wafungwe kifungo cha maisha magereza hayatoshi na madhara mengine kama kuongezeka kwa machokoraa, mwewe, mbwamwitu, panyaroad nk. Bora waendelee na kazi lakini walipwe kulingana na elimu yao ya...
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu aliamua kumuwekea mwanamke bikra?

    Imenigusa sana mada hii. Bikra ni tunu kwa mme, na ndoa inapaswa iwe na misingi na huo ni msingi namba 1 mingine inafuatia!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Ya Burundi sasa yatimia Rwanda-Katiba kubadilishwa Kagame agombee muhula wa tatu

    Rwanda tena! Mh! Kazi ipo wapenda demokrasia na amani,
  12. N

    JamiiForums Tanzania Niambie huyu mwanafunzi kabila gani?

    Mwakeye, HUYO NI MUHA WA HAPA KIBONDO KIGOMA, "Ingo, muhira wachu ni hehe?" "Njoo, nyumbani kwenu ni wapi?" CHEZEA KIGOMA, WALI MAHARAGE NA MAWESE BILA NYANYA.
  13. N

    JamiiForums Tanzania mahaba niue

    Hapo pana kazi pevu!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mba kichwani (Dandruff): Fahamu Chanzo, tiba na jinsi ya kuepukana nazo

    Nakushauri unyoe nywele zako kwa wembe(zungu) bila kujikata na ujipake maji ya betri SULPHURIC ACID,(kiasi kidogo, tumia kidole na kifuniko cha plastik kuhifadadhia) ambayo hayajatumika na usugue kidogo, subiri baada ya dk 3 na uoshe kwa sabuni ya shampoo pekee. utawashwa lakin vumilia! LINDA...
Back
Top Bottom