Kingereza ni kigumu vyuoni na mashuleni lakini si kitandani bwana..!!

Hyo kawaida Mbona, mafisadi wa ccm hawajui kiarabu lakini kwenye kuuza twiga wetu na mwanyama kwa waarabu hua wanakijua..

Chukua hatua leo,chagua ukawa
 
Tchaaa! Waongo hao siwamekariri kutoka kwa porn videos. Maneno yao yote yako sawa sasa ndio ujue maana ya fake orgasm.
 
Kingereza ni lugha kama lugha nyingine tu. Wakati wa asubuhi salamu ni, "Goodmorning", kwa kihehe ni, "KAMWENE", n.k. Tatizo ni kua Kiingereza tumekihukumu kua ni lugha ya "majuu" au ya "watu weupe-wazungu" hivyo si rahisi kuijua na wanaoijua wakiitumia popote pale tunawabeza kwamba "wanajifanya" wazuungu! Lakini kwa anayetaka kukijua ni rahisi tu kuliko hata bei ya peremende. Lengo lako ni nini katika kujua lugha hii? Hilo ni swali la gharama kubwa sana, tafuta jibu lake kisha jifunze si tu Kiingereza bali hata Kichina, Kijerumani, Kichaga, Kiafrikaan, nk.

kamwene....sio good morning!!!!!! Rudi iringa ukajifunze tena
 
Oho! bebe slow! slow! yes! wait bebe! oho! my Gud! lakini wakifika kwenye definition za physcis majanga yanaanza.
 
Back
Top Bottom