omemegrace
Member
- Aug 23, 2015
- 67
- 28
Mtaongea sn mwk huu lkn ccm kwisha kbxaaa
chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) kimeonekana kuigawa ukawa kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama ukawa. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo cuf au nccr- mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.
Na siku chache zilizopita nccr imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya ukawa. Sitashangaa huko masasi chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha dr. Makaidi.
Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?
Kwenu wana jamvi.
hahahaha maana jana sumaye kawa mbogo kisa pesa zake za malipo, leo mbatia naye kawaka, lazima dhambi ya usaliti iwatafune
HAPA KAKONKO NA KIBNNDO, KIGOMA, UKAWA walikubaliana kuwa NCCR wagombee, lakini cha ajabu, hata CHADEMA wamesimamisha wagombea akina KASUKU BIRAGO! Inaonesha dhahiri kuwa muungano wao upo na maslahi yaliyo nyuma ya PAZIA.
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeonekana kuigawa UKAWA kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama UKAWA. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo CUF au NCCR- Mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.
Na siku chache zilizopita NCCR imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya Chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya UKAWA. Sitashangaa huko Masasi Chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha Dr. Makaidi.
Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?
Kwenu wana jamvi.
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeonekana kuigawa UKAWA kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama UKAWA. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo CUF au NCCR- Mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.
Na siku chache zilizopita NCCR imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya Chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya UKAWA. Sitashangaa huko Masasi Chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha Dr. Makaidi.
Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?
Kwenu wana jamvi.
Kweli ukawa mmegawanyika na ni waabudu mashetani ndo maana mnaomba shetani aokoe jahazi lenuMwapenda kuigawa UKAWA, hilo halita tokea. Shetani epushia mbali matakwa ya ccm.
Bendera za CDM pekee ndo zinaonekana kana kwamba Ukawa ni Mali ya CDM pekee yao
Nccr inaitwa ncmbatia mnunuliwakununuliwa kazi.... yan NCCR mmedhubutu kununuliwa? haya mnatumia jina gan sasa?
Chadema wamekata tamaa baada ya Lowasa kuacha kugawa pesaHabari za kata ya Msaranga Mjini Moshi. Unaona hao boda boda wanavyokimbilia kusaka hatima ya maisha yao baada ya kupigwa butwaa? Kaangalie hata pale Soweto karibu na Chang'ibay, kwa chalii, mawazo mpaka kule msikitini.
Chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeonekana kuigawa UKAWA kutokana na kwamba wao ndio wanajitambulisha kama UKAWA. Kwenye baadhi ya majimbo ambayo CUF au NCCR- Mageuzi wamesimamisha mgombea, wao pia wamesimamisha mgombea wao.
Na siku chache zilizopita NCCR imejitokeza wazi kulalamikia vitendo vya Chadema. Hii ni wazi kwamba upo mgogoro mkubwa ndani ya UKAWA. Sitashangaa huko Masasi Chadema wakisimamisha mgombea wao baada ya kifo cha Dr. Makaidi.
Sasa watu wa jinsi hii wakipewa dola si ndo watachukua raslimali zetu zote?
Kwenu wana jamvi.
Tunawasikitikia kwani mnapoteza hela nyingi au ndo njia ya kuturudishia mlizotuibia. Sasa mmekwisha rasmi, mpishe njia Magufuli.wewe gamba kinachookuuma nini,fanyeni yenu acheni ukawa tupange,mikakati yetu ya uongozi wa nchi.