Recent content by Nang'olo Ntela

  1. Nang'olo Ntela

    Tuiombee Kenya: Kenya ranked 30th hungriest nation out of 116 countries

    We jamaa, mbona Kenya wanahali nzuri kuliko Tanzania? Its 23% vs 24.7% wanalala na njaa. Kenya is number 87 kawati TZ ni 92. Sijaelewa labda. My source: Global Hunger Index Scores by 2021 GHI Rank
  2. Nang'olo Ntela

    Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Huyo naye hatabaki salama. Mkewe lazma atakuwa kama si mama lishe, basi muuza matunda barabarani au mama wa chapati au msusi au..... asha date na waliotajwa mara nyingi huko awali.
  3. Nang'olo Ntela

    Vituko kutoka kwenye Makanisa ya Kilokole -Tupia chako

    Wanawake wengi wa kilokole wanawapenda na kuwaheshimu wachungali wao kuliko waume zao. We fikiria unamwambia naomba nipikie anakujibu, "mchungaji kasema tuwahi kanisani"
  4. Nang'olo Ntela

    Sasa ni wakati wetu Zanzibar kuitawala Tanganyika

    Hii ni inchi ya kidemokrasia inayofuata Katiba. Kama kuna mtu aliongoza kwa kutofuata matakwa ya sheria mama (Katiba) huo ni upotovu tu. Awamu ya 6 imeingia kwa mujibu wa Katiba na tunaona sote (Katiba ya inchi) ndiyo yenye kushika hatamu. Unayoyataka wewe kama ulivo ya orodhesha sidhani...
  5. Nang'olo Ntela

    Poleni Watanganyika, Umakamu wa Rais umewalazimu muwe watulivu

    Akili za kichochezi! Kon nani alikwambia Rais akiwa wa Bara, Zanzibar inapuuzwa au akiwa wa mzanzibar ataiwwka Bara nyuma kwa utashi wake. Tulia tuli, inchi iko shwari kabisa.
  6. Nang'olo Ntela

    At least 321 people were killed and hundreds more injured in 8 blasts at Sri Lankan hotels and churches on Easter Sunday

    Dah! Jamaa, wa Nanjilinji tunahusikaje na hoja za Dudus. Sisi ni kama watu wengine wema tu, generalization of arguments such as this is real unfair to your fellow citizen. We may be geographically separated but know that the place you pointed out is the home of sympathizers as you. Hayo tu...
  7. Nang'olo Ntela

    Zitto: Kuna operation maalum ya kunimaliza (kuniua)

    Dah! kama kitisho iko kingeelekezwa kwako, ungekaa kimya ukiamini ni ishu ya kisiasa? Naamini usingeichukulia poa hata sekunde 1. Lets be realistic.
  8. Nang'olo Ntela

    Tumaini University Makumira na Uhuni Wanaoufanya

    :mad: Asante Saigilomagema. Naamini haki itatendeka.
  9. Nang'olo Ntela

    Je, ni kweli kwamba ukitaka kusafirisha Kitanda mkoa mmoja hadi mwingine unahitaji Kibali cha Maliasili?

    Ni sahihi kabisa. Kama huna kibali na wakikuachia itakuwa ni huruma yao au ushirikiano wako.
  10. Nang'olo Ntela

    Kwanini huyu japo anajitahidi kusifu na kujipendekeza lakini anasahaulika katika kila Teuzi?

    Nami nasikilizia kwa braza Paskali. Kwa maandiko yale bila shaka nae anasubiria teuzi.
  11. Nang'olo Ntela

    Ripoti maalum: Kupotea kwa Ben Saanane

    Hii ni ripoti maalumu?
  12. Nang'olo Ntela

    Rais Magufuli: Msiwabomoleshe Mwanza, hata kama wamekosea ndio walionipa Urais

    Hamjaelewa! Subirini atakuja msemaji atafafanua tu na mtaelewa.
Back
Top Bottom