Recent content by Nandi jr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kiongozi mgonjwa ni wa Serikali, chama ama familia?

    Katika upande wa afya kuna kitu kinaitwa referral system. Kwa upande wetu wa tanzania utaratibu wa rufaa upo hivi Zahanati > kituo cha afya > hospitali ya wilaya > hospitali ya mkoa(kama ipo) > hospitali ya rufaa ya mkoa/kanda > hospitali ya taifa. Hospitali za private au taasisi zinatoa rufaa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Mwaka jana waliweka 3.5 lakini ikaonekana kubwa sana wakashusha mpaka 3.0.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Mimi sibishani ila nimekupa hali halisi ilivyo. Ukilaza wa mtu unatokana na mtu mwenyewe.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Dah mkuu wewe ni AMO unataka kuniambia hujui vyuo vinavyotoa MD. Okay kwa kukujulisha ni kwamba vyuo vyote nchini vinavyotoa MD vinadahili pia ma C.O kwa kutumia cheti cha diploma chenye GPA ya 3.0 kama equivalent qualification. Zamani tulipoingia sisi walitumia GPA ya 2.7
  5. N

    JamiiForums Tanzania Brands za biashara/products zilizofeli hapa Tanzania

    Hisoap sabuni ilikuwa inatengenezwa Mbeya. Juisi Cola bado zipo.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Labda nikujulishe tu ukilaza wa mtu unategemea na mtu mwenyewe. Mimi pia nimepitia huko C.O miaka mingi iliyopota na nimefanya kazi tena hapo Mtwara, hata ma C.O wapo vikaza hata kufanya incision and drainage hawajui. Labda unisaidie how do you define ukilaza
  7. N

    JamiiForums Tanzania Niulize Chochote Kuhusu (CLINICAL NEDICINE)

    Ndio CO anaweza kuunga direct MD endapo hajapata ajira ya serikali. Ukiwa umepata ajira serikalini ni lazima ufanye kazi miaka mitatu ndipo uombe kwenda kusoma na utapata ruhusa.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe Amber Ruty mwenyewe ndo huyu jomoni!

    Dah Sent using Jamii Forums mobile app
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; Namtafuta mtu aliyeomba ushauri kuhusu pikipiki

    Mimi ndio biashara naifanya, na mpaka sasa ninazo tano zote zimechukuliwa kwa mkataba. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; Namtafuta mtu aliyeomba ushauri kuhusu pikipiki

    Niuzie hiyo Bajaj. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; Namtafuta mtu aliyeomba ushauri kuhusu pikipiki

    Wadau pikipiki zinalipa inategemea wewe unafanya kwa mfumo upi. 1. Mfumo wa kwanza ni wa marejesho ya kawaida ambayo huna mkataba na dereva na huwa wanaleta kwa siku wastani was tsh 7,000/= Huu sio mfumo mzuri kwasababu service na matengenezo ni juu yako mmiliki na dereva asiye mwangalifu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani msipoungana na mkawa na UMOJA imara wenye hoja bora CCM itashinda kila uchaguzi

    Ndio ilishinda wakati wa mfumo wa chama kimoja.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Mateso ya udahili wa wanafunzi vyuoni yameanza kuonekana

    Japokuwa TCU walikuwa na mapungufu yao lakini walijitahidi kadiri walivyoweza kudahili wanafunzi wenye sifa hata kwa wengine kupangiwa vyuo ambavyo hawakuviomba kabisa. Pia waliweza kudhibiti kwa kiasi chake mianya ya rushwa na upendeleo wa kikabila na udini katika udahili. Kuruhusu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mateso ya udahili wa wanafunzi vyuoni yameanza kuonekana

    Sasa hivi tunakoelekea ni vyuo kujaza watu hata wasio na sifa ili mradi biashara ifanyike.
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi vyuo vikuu Dodoma walazimishwa kushiriki sherehe za muungano

    Post hiyo barua humu ili tuione.
Back
Top Bottom