Recent content by Namshakende

  1. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Ikifika wakati unaomba nafasi ya mwisho basi jiandae Kisaikolojia kuanza Maisha bila yeye

    Vijana, mnachukulia serious sana mambo ya mapenzi . Maisha yana mambo mengi zaidi ya kuzunguka na pressure za relationship kila siku. Penda, furahia, lakini usisahau kujijenga na kuishi maisha yako.
  2. Namshakende

    JamiiForums Tanzania First date yako ilikuwaje? Nini kilikushangaza?!

    Mambo ya first date ni ya wazungu . Mimi nikichukua namba yako leo, kesho njoo gheto tuangalie movie, tupige story na tucheze kombolela. Haya mambo ya kupelekana restaurants, kukaa mezani kuangaliana na kuulizana maswali ya interview ni kupoteza muda na kuchoshana tu. Kama hutaki kuja gheto...
  3. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Wanaume wala chipsi mayai ni wabovu mno kwenye shoo!!!

    Ukute mtoa post ananuka kikwapa, mdomo, nywele zimejaa harufu, au usafi wa mwili haupo vizuri 😂. Wanaume wengine tuna kinyaa. Nikikutana na mwanamke mwenye harufu mbaya ya mdomo, kikwapa au mwili, au anayezungumza kupita kiasi, mood inazima hapo hapo. Akili inagoma kabisa, siwezi hata...
  4. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Am not comfortable with friends!!!!

    Sina rafiki wa kiume wala wa kike na na-enjoy maisha yangu kwa 100%. Marafiki wengi ni wanafiki, nimeweka mipaka ya kutozoeleka kabisa. Yatakayotokea mbele ya safari yatajulikana huko huko, ila kwa sasa sitaki marafiki wala mazoea ya ovyo!
  5. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Tuaganeni rasmi sasa, najiweka kando na JF

    Dogo, nimekuwa nikifuatilia nyuzi zako, and honestly, you’re always seeking attention kama mwanamke. Be a man. Is it really necessary kila mara kutuambia kwamba unaondoka? Did we call you here in the first place? Zaidi ya kuandika ujinga na kutafuta attention, contribution yako kwenye hili...
  6. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Mdada unaolewa huwezi kupika wala kufua kiafrika, hii imekaaje?

    Mimi mwanamke wangu akipika, apike kwa kujisikia mwenyewe Akisema leo sitaki kupika, sawa tu, anunue chakula nje kwa hela yake, sina noma kabisa. Ila kama vitu vya kula vipo ndani halafu unaamua kununua nje kwa hela yangu, hapo tutakaa chini tuongee 😂😂.
  7. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Wenye Baa tafadhalini Pandisheni Bei ya Chupa za Maji!

    Hivi nyinyi watu mnaokwenda baa halafu mnaagiza chupa moja tu ya maji na kukaa nayo zaidi ya masaa matatu, kichwani zinawatosha kweli? 😂 Wenye baa, wekeni utaratibu mpya au mpandishe bei ya maji! Mtu hawezi kukalia meza masaa matatu kwa matumizi ya shilingi elfu moja au elfu mbili huku wateja...
  8. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna msanii mwenye vocals kumzidi Mariah Carey?

    Sisi wa Ipekechee kwa ndani mara tunatoka out, tuna-comment wapi? 😂
  9. Namshakende

    JamiiForums Tanzania KERO Askari Polisi wengi hatupati posho ya pango

    Fwala wewe, kuhusu house allowance yako, mwambieni bosi wenu na mamlaka zinazowajibika. Sisi wananchi unataka tukusaidie nini sasa? Unalalamika kutolipwa posho, wakati sisi tunabeba maumivu ya ndugu zetu waliopoteza maisha tarehe 29 Oktoba. Wewe ulikuwa sehemu ya jeshi lililokuwa kazini siku...
  10. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Uliwezaje au una-deal vipi na mchumba au mwanamke anayeamini katika dawa za kienyeji kama ulinzi (kinga dhidi ya wachawi)?

    🤣🤣, babu yangu yupo Mpitimbi, Songea, alinichanjia dawa kwenye paji la uso. Nilichanjwa hiyo dawa maalum ili nisije nikafunga hesabu( kunyandua) mwanamke mwenye UKIMWI 😂. Yaani kama mwanamke ni HIV positive, aidha mimi nitapoteza interest kwake au yeye mwenyewe atapoteza interest na mimi. Na...
  11. Namshakende

    JamiiForums Tanzania Babati kila MWANAMKE ni mzuri ndugu zangu njooni muoe huku

    Umenena vizuri mkuu. Mimi naamini mwanamke wa kujenga anaonekana zaidi kwenye mindset yake kuliko kwenye maneno. Sio lazima awe na pesa nyingi, muhimu awe na uwezo wa kufikiria mbele na kuelewa kwamba maisha hayajengwi kwa starehe za leo pekee. Ukipata mtu ambaye mnaweza kukaa chini mkazungumzia...
Back
Top Bottom