Recent content by namriny

 1. namriny

  Hivi Couple za humu JF ziliishia wapi?

  Ivi huwa humu kna couple??
 2. namriny

  Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

  Usifanye iv n hatar zaid Puuza ushaur huu
 3. namriny

  Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

  Hufai katika kutoa ushaur ,ipo Sik na wew litakukta jambo hta kama halifanan na hili na wat watalipuuza iv Toa ushaur wa kujenga
 4. namriny

  Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

  Ndio ushaur gan huu,imagine angekuwa mtu wako wa karibu kama huna ushaur s ukae kimya
 5. namriny

  Wanawake wenzangu mnawezaje kumsamehe a cheating husband?

  Kwann unamshaur mwenzio iv lakin?
 6. namriny

  Hivi sisi tuliofeli katika maisha huwa tumekosea wapi, na tufanye nini kujiokoa?

  Kwanza jua kilichosababisha kufeli kimaisha ni nini? Halafu tafuta hiko kilichokusababisha wew kufeli je kuna waliopitia kama hicho na hawajafeli? Sasa hapo tumia mbinu zao kuhakikisha na wewe unashinda.
 7. namriny

  Kama Taifa, tunashindwa vipi kuwa na salamu yetu kwenye mihadhara ya kitaifa tukaepuka hizi za kidini?

  Usipende kukosoa jibu kwa hoja Hpo wew ndio unaonekana hujasoma
 8. namriny

  Natia nia ya kuoa

  Hahhahahahha Weka picha sasa kah
 9. namriny

  Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

  Hahahahaha ila imewafkia
 10. namriny

  Happy Father's Day Dadii. Mwaah!

  Hongeren wababa wte mliopo hum,niwatakie happy father's day,ila kama wew n baba na unamchepuko nje hii hongera yangu usichukue,nawale wa baba ambao mlizalisha hamjaoa ila mnalea watoto wenu mbarikiwe pia,ila kama ulizalisha alafu hujui kulea wew pita kushoto [emoji23][emoji23]
 11. namriny

  Nimesoma International Relations, naomba mbinu za kupata kazi

  IR s lazima balozi ndugu,unaweza kuwa hta pR,information officer,yaan n ving saana vmebebwa na IR Uskalili Kma wew unakaz mashkuru Mungu Uskufuru.
Top Bottom