financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,515
Unamaanisha ushauri niliyokupa haujakufaa?! Ulitaka ushauri wa namna gani? Kwanini hukua specific unahitaji ushauri fulani? Kwahiyo nimejichosha bure kutoa huo ushauri?Au mkuu ningependa ushauri mwingine kutoka kwako