Recent content by Nampula

  1. N

    GE2010 Wanamageuzi. Tumpuuze. Tumdharau Malaria Sugu

    mie naona kama hafahamu ni vizuri akaelimishwa watz wote ni ndogu....ni vizuri kumuelimisha kijana akaelewa.
  2. N

    Pinda hastahili kuwa PM, si mbunge wa kuchaguliwa

    ni ile aliyoisaini jk ya sheria ya uchaguzi waliifuata mkuu kwani ile wakati wa uchaguzi na waliisaini wenyewe?
  3. N

    GE2010 Kwa nini NEC isiwe na database ya matokeo kwa kila kituo??

    ndio mujuwe kuwa hakuna demokrasi, wanajuwa dhahiri kuwa hayo mambo yanawezekana lakini kwa kuwa hakuna uaminifu ndio maana wanachakachua tu basi
  4. N

    GE2010 Kuna Haja ya Viongozi CCM-Kikwete na Mawaziri Kutambuliwa Officially Nje ya Nchi?

    tuache kutegemea watu wa nje matatizo yetu lazima tuyaondowe sisi wenyewe.
  5. N

    GE2010 Kikwete aapa kwa kutumia katiba

    hata wlevi huwa wanawapraise mashetani nothing suprise me at all.
  6. N

    Pinda hastahili kuwa PM, si mbunge wa kuchaguliwa

    kama ni hivyo anakosa uhalali wa kuchaguliwa ila waitafsiri kw maana nyengine hiyo katiba yao feki................maana hii mijamaa haichelewi kuja na kiwahili chao cha uzushi.kama kura haijapigwa that means hakuna uchaguzi na ikiwa hakuna uchaguzi that means jamaa hajachaguliwa sio.
  7. N

    Pinda hastahili kuwa PM, si mbunge wa kuchaguliwa

    haya tutaona lkn hawa jamaa hii katiba huwa wanaiunga wenyewe lkn hawaifuati............znz walisea mpiga kura lazima awe ameishi kwenye eneo kwa muda wa miaka 5 ndio atakuwa na uhalali wa kufanya hivyo lkn shein kura pia kapiga da lkn ndio rais wao................hi tz imekwisha usanii mtupu.
  8. N

    GE2010 Kikwete aapa kwa kutumia katiba

    hawa hata hawaapi kabisa ila wanaimba bongo flavours..............kuapa si mchezo wanajamii...........uwe umeshika kitabu kitakatifu then uende against it basi ndio kaburi lao..........na ilivyokuwa wao si wakweli wataapia na hiyo katiba yao feki na pengine ile si katiba ila ni kitabu cha...
  9. N

    Msimamizi wa uchaguzi Shinyanga Mjini atoweka katika mazingira tatanishi............

    ohoooooooooo na huyo pia washamchakachua?:smile-big:
  10. N

    Pinda hastahili kuwa PM, si mbunge wa kuchaguliwa

    Mkuu kwani jimboni kwake pinda hawajapiga kura za ubunge sio?
  11. N

    GE2010 Hongera mh. Dk. Jakaya M. Kikwete

    hahahah:smile:
  12. N

    GE2010 CONFIRMED: Kigwangala atangazwa rasmi mshindi Nzega

    hongera dr usisahau taaluma yako ya elimu na pia wananchi waliokuchagua............hapa jf utapambana na vichwa ambavyo vitakusaidia sana mjengoni.always maslahi ya nchi yanakuja mwanzo kabla ya maslahi yako binafsi.
  13. N

    GE2010 Maandamano- uchaguzi tanzania jumamosi nov 6washington dc 2010, 10:am (white house)

    nzuri mkuu maana nitapata ushahidi kwenye kesi yangu kuwa tz hakurudiki.
Back
Top Bottom