Elections 2010 Wanamageuzi. Tumpuuze. Tumdharau Malaria Sugu

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,173
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.

Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.

Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.

Au munaonaje?
 
Inashangaza kuona bado watu wanasoma na kuchangia mada zake.Huwa sijisumbui kusoma upuuzi
 
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.

Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.

Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.

Au munaonaje?
Naunga mkono hoja
 
Nakuunga mkono sitachangia hoja zake lakini anaweza akawa na account nyingi mno maana wakati mwingine anajiita Braingenius etc
 
@malaria sugu anatakiwa kuelimishwa, inawezekana ni mjinga, si mpumbavu, akikua ataacha, ni kati ya wale vijana wanaopenda kuchungulia wazazi madirishani....si unajua tena uswahilini.... so na ukizingatia na chama kilichopo madarakani viongozi ni type ya uchunguliaji... nani atamuelimisha kama sio sie wana mageuzi na wapenda nchi yetu...kifupi.. jinsi ya kumfundisha ni kumpa ukweli juu ya nchi, na maendeleo ya nchi, si kuchangia mada zake lol.... kingine hata kama atabadilisha jina, bado mwenye ufahamu atajua ile malaria ishampanda sasa.... na anatumia jina lingine.... TAFAKALI CHUKUA ATUA
 
kuna mdau (KAKAKIIZA) alishatoa wito kama huu tukamuunga mkono.
ni kweli kabisa nimeacha kabisa kufungua threads zake na hata nikikuta post yake nascroll kuiruka.

kuanzia hapo sijaumia kichwa tena.
 
mie naona kama hafahamu ni vizuri akaelimishwa watz wote ni ndogu....ni vizuri kumuelimisha kijana akaelewa.
 
Mmechelewa sana kumng'amua huyo jamaa. Mwanzoni nilichangia threads zake kwa hasira lakini baadaye niliamua kuepukana nae. Huwa sisomi kabisa threads zake na hata akija kwa akaunti/jina jingine, tutamng'amua tu kwani uchafu wake hauwezi kufichika.
 
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.

Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.

Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.

Au munaonaje?

Yaani wewe bado unachangia thread za Jaaanuaaali Maaakaaaamba? mimi licha ya majina yote anayotumia, Malaria sugu, Braingenius, Ernesto Sheka etc. huwa namgundua mapema na kukwepa thread zake kama kinyesi.
 
Sio mjinga ni MPUMBAVU. Huyu ni wa kuachana nae!!! Anaonekana kutumiwa pia kufaidi kutoka kwa ........
 
Ndugu Wana JF, na hasa wana-mageuzi.

Malaria Sugu amejipambanua kuwa ni mtu mwenye dharau anayependa kukebehi na kusifia upuuzi.

Ninashauri tumkatae. Tumdharau. Tusichangie 'pumba' zake.

Au munaonaje?

Duh! mi kwanza nilishamsahau, maana niliacha zamaaani.., labda kama anatumia majina mengine :A S angry::A S angry::A S angry::A S angry:
 
kuna mdau (KAKAKIIZA) alishatoa wito kama huu tukamuunga mkono.
ni kweli kabisa nimeacha kabisa kufungua threads zake na hata nikikuta post yake nascroll kuiruka.

kuanzia hapo sijaumia kichwa tena.
Katika posts zake hana chochote cha maana kabisa kabisa???:glasses-nerdy: sidhani... msimtenge... ila mi mgeni bado...
 
Yaani wewe bado unachangia thread za Jaaanuaaali Maaakaaaamba? mimi licha ya majina yote anayotumia, Malaria sugu, Braingenius, Ernesto Sheka etc. huwa namgundua mapema na kukwepa thread zake kama kinyesi.
du! du! du! aisii:A S angry: Bongo forums, mtu mmoja majina mia-moja. ukiona ivyo kila jina lina maana yake:smile-big:
 
Back
Top Bottom