Sioni Kama Kuna Umuhimu wa Viongozi wa CCM, Kikwete na Mawaziri Watakaoteuliwa Kutambulika Duniani. Hii Iwe Moja Wapo ya Initiative ya Nchi Zingine Kuadhibu Vyama Vyovyote Vinavyo Wakandamiza Wananchi Wao Kupitia Hiyo Hiyo Demokrasi ya Usawa. Kitu Kikubwa ni Kwamba Wasipewe Visas Hizo Nje, Wao na Familia Zao na Wananchi Watanzania Wanaoishi Marekani, UK, Japan, Germany na Nchi Hizo Ambazo Zinatoa Misaada Mikubwa Tanzania Wanatakiwa Waweke Opinions Zao Kwenye Magazeti na Njia Zozote Zile Ili Hizi Serikali Zijue CCM ni Watu Wa Namna Gani. Watu Wachache Ambao Wanataka Kuharibu Amani na Maendeleo ya Nchi Yetu. Jambo Jingine Kubwa ni Tusisitize Chadema Viongozi na Kila Mtanzania Anayefanya Kazi World Bank na IMF au Institution Yeyote na Wafadhili Tanzania Wasitoe Misaada Yoyote Kupitia Serikali ya Kikwete kwa Sababu Wanatumia Hizo Hizo Funds Kuwalipa Watu Kuiba Kura na Kulinda Kura za Uongo. Kuna Vitu Vingi vya Kufanya Bila Kuwaumiza Wananchi na Kuhakikisha CCM Inaumia kwa Vitendo Vyao.
"It's seem That Africa Democracy is Still Along Way To Go! Don't Give UP"
"It's seem That Africa Democracy is Still Along Way To Go! Don't Give UP"