Recent content by NamnyakNancy

  1. NamnyakNancy

    Jamani ndoa ngumu, tokea aolewe ni miaka 2, anamfumania mmewe na michepuko

    Ila hata kungwi irene mbowe hatetei unyanyasaji na ukatili na alisema wazi kwenye moja ya post yake huyu mume ni mkatili. Msingi hpa huyu dada akamuadabishe mumewe kama hasikii ampe muda akiona anamfaa atarudi ila arudi kwa masharti ikiwemo kutokupigwa kiasi hicho.
  2. NamnyakNancy

    Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

    Asante ndugu yangu karibu saana.
  3. NamnyakNancy

    Wanaume tuheshimiane

    KWA HIYO SIO TATIZO KWA MTOTO WAKO WA KIKEE KUOSHWA SEHEMU ZAKE ZA SIRI NA MWANAUME? TENA MTU BAKI? OOOOKAAAAAAY!! Basi atazidi tu kukutukana saana tuu. Kama baba yako aliweza kumzuiaaikuoe basi asingeshindwa kumzuia kufanya fujo kama mtoto angekaa kwenu SIO TATIZO KWA MTOTO WAKO KULALA NA...
  4. NamnyakNancy

    Wanaume tuheshimiane

    Asieee dada wewe unamoyo sijui au huna akili? Samahani kama nitakuwa nimekukwaza kwa kusema hivyo ila tangu lini ukaona jogoo na vifaranga? lini wapi na nsaa ngapi? Kwanini ukamwacha mwanao angali mdogo? kwani wewe huna pakulala huna chakula huna wazazi? Your first priority should have been your...
  5. NamnyakNancy

    Najuta kuoa mapema, miaka mitano baada ya ndoa ndio nakutana na mwanamke wa ndoto yangu

    Swali lako linanitatizaa.... kwani wasomi hawaolewi? Mbonq wapo wengi tuu waliona ndoa zao?
  6. NamnyakNancy

    Wizi wa mafuta Petrol Stations

    kuna mmoja alituambia juzi hapo ubungo yani yeye anachukua10% hivi kila akiweka mafuta kwenye gari na pump huwa anairest inaaanza 0000. yaani basically pale wanapokuekea mafuta huku wameshika pump handle wanaiba ile wanavyobonyeza na kuachia huwa wanabana mafuta yanarudi inaingia hewa kwahiyo...
  7. NamnyakNancy

    Katuni ipi ni bora zaidi kwa Watoto wa Pre - School?

    Kama una dstv lipia kifurushi kitakacho kuwezesha kupata channel inatwa bbc c . Ina educative cartoons.
  8. NamnyakNancy

    Eti ameniacha kisa kofi moja tu

    A man who cannot control is temper in not a good man. UMEANZA KWA KUJITETEA ETI UNAKOSA MKE ILI UONEWE HURUMA THAT YOU HAD GOOD INTENTIONS WITH HER KUMBE WAPI ALL YOU WANT IS A SYMPATHY VOTE AND A WAY TO JUSTIFY YOUR ACTION. kabsaa eti kakofi kamoja ... kamoja leo kesho ngumi na mateke.. Ndio...
  9. NamnyakNancy

    Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Ndio yamepungua ila yapo na yanatokea sana. Huoni pande zingine huwa wanshupalia sana kitovu, kucha au nywele apewe bibi?! Unajua zapelekwa wapi au wanafanyia nini? Tunayapotezea ila wachawi wanatumia sana hivi vitu. Hata mimi nasemaga ni hirizi maana naamini mwenye uwezo wa kukinga mtoto na...
  10. NamnyakNancy

    Nywele zinavyohusishwa na roho na mapepo

    Hii sabrinah.. Mara nyingi kiimani nywele za mtoto mchanga zinanguvu sana katika mambo ya kichawi. Mara nyingi nywele huashiria ufahamu wa mtoto. Zamani wengi nywele zilichukuliwa na kufanyiwa mila au matambiko. Kufanya hivyo unamfunga mtoto ufahamu wake unamkabidhi over the other side. Si...
  11. NamnyakNancy

    General Tyres Tanzania ilivyohamishiwa Kenya na kuitwa YANA tyres!

    naungana nawe sana. kweli unaweza enda shule na usieleimike, watu wamebaki na ushabiki wa kisiasa tu, ndio mambo machafu yametendeka ila ninauhakika karibu 90% ya wale wanaishutumu serikali nao ni mafisadi vile vile. Nina hakika ndio wa kwanza kukwepa kodi, kupokea hongo na rushwa kupitisha...
  12. NamnyakNancy

    Kati ya mdogo wa marehemu mke wangu na mchepuko wangu nimuoe nani?

    Oa mdogo wa mkeo kaka yangu anaonekana kuwa ni mwanamke aliekomaa na tayari kuwa mke naamini hutojutia uamuzi huo. For the sake of your kids and you. kumbuka huo mchepuko anataka ndoa na umri umeenda hana pakwenda kwa hiyo atafanya yote aonekane mwema machoni pako na wakwe, ila huyu binti hana...
  13. NamnyakNancy

    Kama kweli huyu kijana ameambukiza HIV hawa mabinti, basi vijana wajihadhari

    Kwa idadi hiyo ya wasichana na siku alizotumia kuwa nao yaani miaka mi tatu, kwa wastani alikuwa anatumia karibu siku moja na nusu kutongoza, kukubaliwa, kufanya mapenzi na kumwacha kila binti alielala nae. Ina maana huyu mtu alikuwa hana kazi ingine au kuna siku alikuwa anapiga tripple dose!!
  14. NamnyakNancy

    Mtafiti: IQ ya Mwafrika na mtu mweupe

    This is very true, all those who object this theory are hypocrites... I think there a vivid an explanation to this be it education curriculum, the overall learning process, nutrition, and the total life style of a particular area... watu wamekuwa wakichunga mbuzii na kulima tuu ndio ujuzi...
  15. NamnyakNancy

    Naomba ushauri na tiba ya kikohozi na mafua kwa watoto

    Children's Cough: Causes and Treatments
Back
Top Bottom