sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
see u later
Woow umerudi wangu..!
Mie ninakubaliana na huyu mpuuzi Watson kwa kusema ukweli unaouma mchana kweupeee.. Haya mizungu mingine inajifanya kumpinga hadharani wakati mioyoni mwao wanafurahia kujitokeza kwa mpuuzi mmoja kusema kile ambacho kwa unafiki walio nao wanashindwa kukiri hadharani..