Recent content by namibu

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi bima ya afya amuhonga gari jipya waziri wa afya kusaka uteuzi

    Poleni.wote wala rushwa na wachawi.tunajua mapenzi baina ya wafanyakazi walioowa na kuolewa ndo jadi yenu. Nahisi huyu atakuwa rutazaa au mfuasi wake.wote vibaka tu
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Wewe nafikiri hujitambui.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

    Kangi kashikwa tamaa na utajiri wa haraka.anatumia ujinga wa ndg zetu kuwaibia ardhi.kwa sasa amemuleta rafiki yake eliasi magessa kupora ardhi halali ya wazee wa namibu.hakika hatufai tena
  4. N

    JamiiForums Tanzania Biashara ya miili Iringa noma

    Atakuwa mwathirika lazima
  5. N

    JamiiForums Tanzania Aibu ya viongozi wa Afrika, ziara ya Washington DC

    African presidents must lead not by shuttling. Mwandishi kasahau kwamba watu makini africa siyo wana siasa. Ndo maana tuko gizani
  6. N

    JamiiForums Tanzania Vituo vya daladala vyenye majina ya ajabu

    Kilima nye.....e kiko masaki
  7. N

    JamiiForums Tanzania DIASPORA yupi aliyefanikiwa kiuchumi, kisiasa na kijamii awe mfano?

    Wengi vibaka tu na waosha wazee.wakimbizi wa hiari. Njaa tupu,hawana. Namfahamu mmoja dereva wa forklift maryland
  8. N

    JamiiForums Tanzania Top ten ya wabunge wa bara wanaomaliza muda wao

    Umesahau steven wasira.bunda tumemchoka
  9. N

    JamiiForums Tanzania MBUNGE wa CUF aliyetinga Bunge la katiba aiangukia UKAWA

    Njaa ilimpeleka hapo. Alidhani kutakuwa na wengine pia
  10. N

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Mdahalo wa katiba ITV leo

    Enija emrangi kurubhugao nilole
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vigogo chuo cha uhasibu Arusha mbaroni

    Kuna uhasama unaendelea hapo. 6.2m za 2011,mambo mengi yamefichika
  12. N

    JamiiForums Tanzania Musoma: Kituo cha kazi

    Musoma pazuri sana
Back
Top Bottom