Vigogo chuo cha uhasibu Arusha mbaroni

Vigogo chuo cha uhasibu Arusha mbaroni

...Hakuna kesi hapo! Wakipata Mwanasheria Makini Watalipwa fidia ya kutosha! .... Mkuu wa Chuo yuko entitled kupewa Nyumba ya kuishi yeye na familia yake! Kama Mkuu wa Chuo anastahili kuwa na Umeme wa Uhakika, well wamemfungia Solar Power badala ya Generator kosa liko wapi? ... TAKUKURU wanaacha 200 Billions wanakimbilia milioni 6 kwa watu kumi ? Grrrrr ! Nijuavyo mimi hizo panels ni ndogo sana .... AIBU!!
 
ccm wote wezi tuu mm sina imani nao kabisa wezi wa kuku wanahukumiwa kila siku wakati mafisadi wakubwa wa nchi ambao ni makada wa ccm wanalindana ccm ni chama cha wahuni na washenzi wakubwa
 
Kwani mshahara wa Prof ni kiasi gani, si anaweza kununua hicho kifaa???
Takukuru mbona wasanii, wanazima MOTO wa ESCROW ACCT kiaina??
 
MSALANI wacha umbeya kama GL angaeiba trector na ambulance mngemuacha???
Kinana machine za kufua kawapa nduguze pale Falcons Ars, mali ya Maunt Meru Hsp, azirudishe!!
 
Last edited by a moderator:
Vipi kuhusu wezi wa EPA,RICHMOND,ESCROW,TWIGA HAI,MENO YA TEMBO,Vipi kuhusu wafanyabiashara wa sembe?Lets fight the real enermy not the wrong one!
 
Abunuas mbona hueleweki, kama mkuu wa chuo Prof Monyo alinunuliwa solar system na bodi ya chuo, kosa liko wapi???
Kwa nini TAKUKURU wasijikite kuwafikisha mahakamani kina Chenge walioficha mabilion ya fedha zetu Uswiss na ofshore ACCTS???
Wezi wa ESCROW ACCT wapeta tuu mitaani!!
TAKUKURU WACHA usanii nchi inafilisiwa, nyinyi mnazidi kuifilisi!!
 
Last edited by a moderator:
Inashangaza kwa kweli kwamba eti kifaa ambacho kilinunuliwa kweli na kipo wala sio hewa kinapewa publicity kubwa sana na ambacho eti thamani yake ni Millioni 6. Hapa nafikiri kuna agenda ya siri juu ya hii kesi, si bure. Natabiri hawa watu hawaendani na matakwa ya CCM ndio maana wametundikwa. Kama M4Cjb ulivyosema, mbona hatujaona wezi wakubwa waliokwapua mamilioni wakifikishwa mahakamani? Eti millioni 6 ni kesi ya uhujumu uchumi?

Kuna kitu hapa.

Tiba

Usilolijua na usku wa giza,prof Monyo n mwana CcM mzur tu na aliwah gombea ubunge mojawapo ya jimbo mkoan mara na akashindwa wakat wa kura za maoni.


Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Kuna uhasama unaendelea hapo. 6.2m za 2011,mambo mengi yamefichika
 
Matokeo yangu ya form4 na6 hata UK wenu ukeshe Kwa karne na mje muunganishe matokeo hamnisogelei

Reference yako ya kufaulu A-level ni Ole Sendeka siyo mimi. Kiwango kilekile kidogo cha ufaulu ndicho kilikupeleka IAA na ndiyo hiyohiyo kilichokupatia GPA ya kuchechemea. The means (poor upstairs) justifies the end.
 
kwanza sihusiki kuifilisi nchi hii-binafsi naamini ni dhambi kwa sababu kuna watu wanakufa kwa kukosa huduma muhimu kama mahosipitali
pili-kuhusu huyo monyo nimechangia kwa kile nilichokiona kwenye uzi uliopostiwa humu, sasa kama wewe unajua kwa undani zaidi kile kinachoendelea basi tujulishe (japo hilo la monyo kununuliwa solar kwa hela za wavuja jasho linaleta ukakasi kidogo labda kama ni nyumba ya serikali)
kukusu hao Escrow-nasema the same, sina kauli tofauti juu ya mambo yanayofanana na yakipuuzi kama haya, labda kama unaweza nionyesha ni wapi nishabikia hayo madudu (lakini pia uelewe kosa moja halihalalishi kosa lingine, kitu ambacho naona hasa ndo hoja yako ilikojikita hapa)
Bila shaka sasa utakuwa umenielewa. asante na kazi njema.

Abunuas mbona hueleweki, kama mkuu wa chuo Prof Monyo alinunuliwa solar system na bodi ya chuo, kosa liko wapi???
Kwa nini TAKUKURU wasijikite kuwafikisha mahakamani kina Chenge walioficha mabilion ya fedha zetu Uswiss na ofshore ACCTS???
Wezi wa ESCROW ACCT wapeta tuu mitaani!!
TAKUKURU WACHA usanii nchi inafilisiwa, nyinyi mnazidi kuifilisi!!
 
Halafu ukisoma story yote mimi sikuona tatizo liko wapi. Solar kit ilinunuliwa haikununuliwa? Jibu ilinunuliwa. Je ilinunuliwa kwa bei halisi? Hapa sijui labda ilinunuliwa kwa bei ya uchakachuaji lakini je wanashtakiwa kwa kuinunua bei ambayo sio halisi? Tatizo ni nini hasa? Pale mwanzo nilielewa kwamba mkuu wa chuo aliichukua hiyo panel kwa matumizi ya nyumbani kwake, ok labda hilo ni kosa lakini yeye kama kiongozi hastahili kuwa na power back up nyumbani kwake? Viongozi nyumba wanazoishi si zinahudumiwa na mashirika wanayofanyia kazi? Hivi unaweza kwenda kwenye nyumba anayokaa Prof .Beno Ndullu wa BOT na ambayo imejengwa na BOT na kushangaa kwanini imefungwa generator iliyonunuliwa na BOT?

Kwa ujumla sijaelewa tatizo liko wapi mpaka waitwe wahujumu uchumi.

Tiba

Kuna siri nyuma ya pazia!
 
Back
Top Bottom