Recent content by namelo

  1. N

    Kuku aina ya SASSO wakiwa na siku 52

    Umewalisha nn? Mbona wamekuwa haraka hivyo?
  2. N

    Hapa ndipo Utahakikisha Mungu yupo

    Utabaki kuwa Mungu, Jehova Shama.
  3. N

    Hizi Picha Zinatisha, Usiombe Kuziona.

    Bora usingeandika. Kwa kusoma tu nimeishiwa nguvu. Mungu wa rehema anayetuvumilia kwa haya hakika ana upendo mkuu. N nani angeweza kuacha haya yatokee? Nimekuwa nikijiuliza sana kama ningekuwa kwenye nafasi ya Uungu, je ningeweza kuacha ukatili wa aina hizo ufanyike? La hasha, ningewapiga upofu...
  4. N

    Mjue Mtoboaji macho, Salum Njwete (Scorpion) na watu wake

    Sitaki kuamini kuwa alishiriki, dume dume.
  5. N

    Katibu wa chama cha watu wenye ualbino wilayani Nzega atekwa

    Mwenyenzi Mungu awape ufahamu wale wote wanaofanya vitendo hivyo waweze kujitambua.
  6. N

    Gwajima aagiza helkopta 2 kutoka Japani

    Tuchunge ndimi zetu na watumishi wa Mungu, tusije kuingia kwenye kukosa baraka.
  7. N

    Ilikuwa nife jioni hii ya leo!!!

    Pole ndugu. Kuwa mtiifu ni jambo jema sana. Hutapungukiwa.
  8. N

    Japo sikukubali, Lowassa umenifundisha mambo makubwa 08 yafuatayo...

    Nimepata mema mengi sana kutoka kwake. Mungu wangu usimwache.
  9. N

    Namshukuru Mungu, kwa kuzaliwa Tanzania, nchi ya amani

    Kuna raha fulani ya kujiita Mtanzania. Tuendelee kuliombea taifa letu. Ipo siku litakuwa na mabadiliko makubwa sana.
  10. N

    Mambo 10 ya kustaajabisha kwenye uchaguzi huu

    Ujio wa prophet tb joshua. Na huku ikisemekana kuwa hakuhudhuria kuapishwa kwa rais.
  11. N

    GE2015 Binafsi nasherehekea kuondoka Kikwete na siyo kuapishwa Magufuli

    Ee mwenyenzi Mungu toa utulivu wa ndani kwa watanzania wote. Leo tunamaliza yote, watu wakae salama mioyoni.
  12. N

    Nchi haina furaha kabisa, kwa maoni yangu

    Mungu kwa rehema zake, na atupe utulivu wa ndani na furaha tena......Bwana asipoujenga mji, ajengaye afanya kazi bure. .
  13. N

    Askofu Basileus Ezekiel Mabumba: Lowassa asipokuwa Rais 2015 mniue!

    Ni wazi kuwa wale wanaokebehi maneno yake leo hii hawajui kinachoendelea. Ni kuwa kuna mambo yanakwenda chini kwa chini kuhusu uchaguzi huu ambayo wengi hawafahamu. Hii ngoma bado mbichi kabisa, Ukawa wanajua hivyo na viongozi wa juu wa CCM nao wanajua hivyo. Lakini kama mtu unategemea...
  14. N

    GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Mungu akusamehe bure. Inasisimsha.
Back
Top Bottom