Recent content by NAMBEKE

  1. N

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    Mpira umekwisha
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    dakika ya 89 mbeya city 1 yanga 3
  3. N

    JamiiForums Tanzania Mechi ya Yanga Mbeyaa City ni fujo

    Mbeya city 1 Yanga 3 mpira unaendelea
  4. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

    Wakubwa, hiyo taarifa ya ukaguzi uliofanywa na CAG na PCCB umeshawekwa hadharani? Usitushawishi kuandamana uchi kwa tetesi. Wajanja hatufanyi maamuzi magumu kwa tetesi za mitaani. Naomba utuwekee taarifa kama unayo
  5. N

    JamiiForums Tanzania Jaji Werema akipona katika hili la IPTL natembea uchi

    Tpaul Hivi taarifa imeshatoka? Mimi sijaiona, naomba kama unayo utuwekee hapa na sisi tuisome. Usitushawishi kuandamana wakati hatujui uchunguzi umebaini nini. Wajaja hawachukulii tetesi kufanyia maamuzi magumu
  6. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    :llama:Vana Lizombe, bombi nyumbi hi. Tusisahau Matimbula Bus Service. 1. Songea - Lituhi (150km) kuodoka Songea saa 11 alfajiri, kufika Ruanda saa 12:30 jioni Lituhi asubuhi. 2. Songea - Mbinga (95km) kuondoka songea saa 11 alfajiri, kufika mbinga saa 8 mchana. Songea - Dar 1. Supu ya mawe iga...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Dayosisi mpya ya Ruvuma kuzinduliwa Leo.

    Namshukuru Mungu kwa kuanzishwa kwa Dayosisi hii na kumchagua Mchungaji Mwenda kuwa Askofu wa kwanza wa RUDI (Ruvuma Diocese). Nimepita maeneo hayo na nilichojifunza ni kwamba Dayosisi hii imeanzishwa lakini ni Maskini. Haina kitegauchumi wala kituo chochote cha huduma za jamii. Kwa miaka mingi...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Iga ufe
  9. N

    JamiiForums Tanzania Misemo inayoandikwa kwenye vyombo vya usafiri, we acha tu!

    Supu ya Mawe
  10. N

    JamiiForums Tanzania wahaya: mwaka mpya 2013

    Angambire stupid infront of my wife so nikaamua kupigana
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mzee Falijara: Rais Kikwete ni kama Mungu anamiliki Mbingu na Ardhi

    Mzee wetu aliteleza, hata mtangazaji wa Mwanza alimwombea msamaha. Mungu wetu ni mwenye rehema na anasamehe
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Ok, Sheria imejali haki za binadamu wote. Vijana wetu watapata muda wa kupumzika na wenzi wao kwani doria za usiku kutakuwa hakuna. Vituo vyote vya porisi vitafunguliwa saa 12:30 asubhi juu ya alama na kufungwa saa 12:30 jioni.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Kujamba ni nini in english plz!

    Aaaa! najua kwa kibena ni Kuishuta hapana kizaramo au kipare
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Lema: Lissu amkaanga Profesa Shivji

    Aah wapi. Mkondo wa sheria umekamilika sasa kila mwenye uwezo wa kufikiri anaruhusiwa kutoa mawazo yake. Kuwa mamuma sio utetezi:glasses-nerdy:
  15. N

    JamiiForums Tanzania GE2020 Why Bernard Membe is not a presidential material, at all!

    Rutashubanyuma umeandika maneno magumu ya kiingereza kwa sisi wadtanzania wengi, kama unataka kueleweka kwa nini usingeweka kwa kiswahili? Nimesoma mwanzo mwisho nimetoka kapa! (Kati ya Membe, Lowasa, Sita na Makamba Jn nani anafaa?. Mbona naona wengine wana makundi?
Back
Top Bottom