Hata akiwa Mwenyekiti wa Chama kabisa,je itatusaidia nini sisi Wananchi wanyonge ambao ndugu zetu wamezuiliwa kwenye Mahospitali mbalimbali ya Serikali hapa nchini kwa kushindwa kulipa gharama za matibabu??je itatusaidia nini sisi Wananchi wanyonge ambao Maiti za ndugu zetu zimezuiliwa kwenye...
Hivi unafahamu kuna idadi kubwa ya wagonjwa wanashikiliwa kwenye Mahospitali mbalimbali ya Serikali hapa nchini kwa kushindwa kulipa gharama za matibabu??hivi unafahamu kuna idadi kubwa ya maiti zimezuiwa kwenye mochwali mbalimbali za Serikali nchini kisa ndugu wa Marehemu hao wameshindwa kulipa...
kusema kwamba sijawahi kuvutiwa na kazi zao ni kujiona wa kishua!!!naonaga ni too childish ndivyo hivyo,sijakuzuia wewe kucheka mpaka meno yako yote 32 kuwa nje!!!kupanga ni kuchagua
Sijuagi hata huwa wanaigizaga nini hawa!!yaani nikiona watu wanacheka maigizo ya hawa jamaa huwa nashangaaga sana!!nikiwa kwenye basi ni heri niweke Earphone masikioni nisikilize hata mapambio
grow up,inaonekana ndio safari yako ya kwanza nje ya Nchi basi udwanzi umekujaa tu,ungefika Dubai huko kwa mfano si JF yote ungeitawala wewe,tangu juzi Burundi Burundi khaaa!!hiyo Burundi yenyewe utakuwa hujaizunguka hata robo theluthi lakini maneno meeengi humu!!!yaani siku mbili tu basi...
Kijana wa hovyo ni yule anayejisifu mfano anajisifu ana Degree halafu kesho anaweka Tangazo anahitaji kununua Vyombo vya ndani used mfano Godoro,Kitanda,Sufuria nk,huyo kwangu ni Kijana wa ovyo tu
Anapokusajilia line anakwambia Network inasumbua rudia kuweka Finger Print,utarudia kuweka Finger Print hata mara 3 au 5 ndio anakwambia imekubali,kumbe zile mara nyingine zote alizokuwa anakwambia inakataa ilikuwa inakubali vizuri tu,kisha hizo line anaenda kuziuza
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.