Gari hii hapa bureeereee utachangia hela ya shukran ya soda kidogo tu

samakiurembo

JF-Expert Member
Dec 8, 2021
445
684
Chaser moja la kizazi sanaaaa

Price:million 4.8

Cc:1900

Gear box maini ya mbuzi miksa chapati za kunyumbulika

Engine sotojo la mwanamke wa kitanga aliekwenye hatari ya kuachika

A.c ukijisahau unaganda unadedi ukanitese Mr everything kwa kamanda siro na hivi ana hasira na panya road mmmmh

Gari ni nzima na imetunzwa nipigie haraka upate gari ya kutumia

Bei isikutishe njoo ukague gari tuyajenge

Maelezo mengine yapo kwenye card fungua picha zote utaiona

Mkoani tunakuletea gari kwa uaminifu mkubwa kabisaaaa

_#0672222237

Nifollow instagram kwa vyuma vikali bei kitonga kama hivi

@Mreverything255
View attachment 2229626
 
Wewe bora ukawekeza nguvu zako kwenye hiyo biashara yako ya samakiurembo! Huku kwenye magari ikiwezekana, waachie tu wengine.
 
Chaser moja la kizazi sanaaaa

Price:million 4.8

Cc:1900

Gear box maini ya mbuzi miksa chapati za kunyumbulika

Engine sotojo la mwanamke wa kitanga aliekwenye hatari ya kuachika

A.c ukijisahau unaganda unadedi ukanitese Mr everything kwa kamanda siro na hivi ana hasira na panya road mmmmh

Gari ni nzima na imetunzwa nipigie haraka upate gari ya kutumia

Bei isikutishe njoo ukague gari tuyajenge

Maelezo mengine yapo kwenye card fungua picha zote utaiona

Mkoani tunakuletea gari kwa uaminifu mkubwa kabisaaaa

_#0672222237

Nifollow instagram kwa vyuma vikali bei kitonga kama hivi

@Mreverything255
View attachment 2229626
Hiyo gari mbona Ina kichogo Kama madenge na wowowoooo??
 
Back
Top Bottom