Recent content by namanka_Jr

  1. N

    JamiiForums Tanzania Baada ya kutamba sana Clouds Tv "dead and Gone"

    Clouds TV,ni free station hata usipolipia unaipata ila ni kweli kwa sasa Azam Decoder haionyeshi....ila labda ni Technical problem.
  2. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natamani kumuoa binti wa Kinyarwanda

    Tamaa Mbaya.
  3. N

    JamiiForums Tanzania Hivi mafuta ya korie yametengenezwa kwa kutumia nini?

    Ameuliza yanatengenezwa kwa kutumia nini,maana yake anataka kujua malighafi yapi yanatumika? Sio yanatengenezwa kwa nini?? Inaonyesha ulikiwa darasani unauwezo wa kujibu maswali yote ila bado ulikuwa unapata ZERO tu...tena Zero negative.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Bandari ya Nyamirembe - Chato ipo tayari kwa matumizi

    Ni wivu tu In Gboy voice. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  5. N

    JamiiForums Tanzania Nataka nihamishie makazi ya wazazi wangu Chato

    Sijawahi fikiria kama wabongo wanaweza kumvua nguo Mtu huku wakiwa wote wawili wanacheka yaani mvuaji na mvuliwaji.... You're so smart ila sio smart Kitochi. You have masters of Public confusion.
  6. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    Huu ujasili umebaki kwa Kipanya tu wengine tulishashindwa,Sijui anawezaje??
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    Unaweza ukajikuta umekesha overnight kwa apps hizi,Hauwezi ichoka simu yako wallah.
  8. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    Dondosha mkeka wako kabisa tupigechabo! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa mnaotumia hizi feni za kisasa zina tofauti gani na hizo tunazotumia?

    Huwa zinakula sana umeme hizi.....kama umepanga utagombana na wapangiji wenzako Haki tena.
  10. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni App(s) gani bomba ambayo unajivunia katika simu yako?

    Wadau,Matumizi ya simu na maujajanja yake yametofautiana sana yaani wengine wako Form Six wengine Diploma na wengine PhD, hasa linapokuja suala la Smart phone. Mfano LIVE FOOTBALL TV kwangu ni app ambayo ukiwa nayo tu unaweza kucheki soka hata kama uko kwenye Daladala na Mambo yakaenda sawa...
  11. N

    JamiiForums Tanzania Je, hivi ni dhambi kutumia nyimbo za Kampeni katika Mikutano ya Wananchi baada ya kampeni kuisha?

    Kumekuwa na desturi pale viongozi wa kisiasa wanapohitaji kuongea na wananchi mbalimbali hasa katika kaguzi za Miradi mbalimbali ya maendeleo kutumia nyimbo za Kampeni kutumbuiza wananchi hali ya kuwa muda wake umeshaisha na wananchi wanaohudhuria huwa ni wa vyama mbalimbali. Je, ni sahihi...
  12. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Nitumie mbinu ipi ili watoto wapende kujisomea?

    Anza kusoma wewe mwenyewe watafuata nyayo zako tu.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Niko kwenye Dar express imetoka Dar saa 12 kasoro hadi sasa saa moja usiku haijafika Arusha

    Kutoka saa 12 mpaka saa 1 ni mwendo wa saa 1 tu unawezaje kufika umbali wote huo wakati unatakiwa uwe mbezi mwisho tu.
Back
Top Bottom