Nataka nihamishie makazi ya wazazi wangu Chato

Siasa Basi

JF-Expert Member
Jul 10, 2016
1,493
4,276
Mara ya mwisho kufika Chato ilikuwa mwaka 2007, ni kipindi kirefu kimepita sijakwenda huko. Nimezaliwa na kusomea Butiama Mkoani mara. Wazazi wangu wanaishi huko kabla ya kusogea kijiji cha jirani cha Muriaza.

Nimefikiria na hatimaye nimechukua maamuzi ya kuwahamisha wazazi wangu na kuwajengea makazi mapya Chato. Butiama pamoja na hicho kijiji cha jirani yake ni duni sana, barabara mbovu, huduma za afya mbovu, lakini Chato kila kitu kipo.

Natoka Dar nakwenda kwa ndege mpaka nyumbani Chato, barabara nzuri mpaka taa za barabarani, huduma za afya nzuri na mambo mengine . Kwa sasa Chato haishikiki.

Wenyeji wa Chato naweza pata heka moja kwa bei gani huko, isiwe ndani saana, nataka hapo karibu na Chato airport au karibu na hospital kubwa ya rufaa kanda ya Chato, au pale na karibu na maeneo ya Chuo cha Veta Chato, ikishindikana sana hata hapo Chato tower sio mbaya. Nataka wazee wangu wafie pazuri.
 
Mara ya mwisho kufika Chato ilikuwa mwaka 2007, ni kipindi kirefu kimepita sijakwenda huko. Nimezaliwa na kusomea Butiama Mkoani mara. Wazazi wangu wanaishi huko kabla ya kusogea kijiji cha jirani cha Muriaza...
Sijawahi fikiria kama wabongo wanaweza kumvua nguo Mtu huku wakiwa wote wawili wanacheka yaani mvuaji na mvuliwaji....

You're so smart ila sio smart Kitochi.

You have masters of Public confusion.
 
Tulizoea kwamba wageni wa nchi tunawapeleka kwenye beautiful cities kama dar na Arusha ili waone uzuri na fahari ya nchi yetu, Sasa wanapoishia chato tu wanaondoka na picha gani ya nchi yetu?
 
Back
Top Bottom