Je, hivi ni dhambi kutumia nyimbo za Kampeni katika Mikutano ya Wananchi baada ya kampeni kuisha?

namanka_Jr

Member
Jan 24, 2015
13
75
Kumekuwa na desturi pale viongozi wa kisiasa wanapohitaji kuongea na wananchi mbalimbali hasa katika kaguzi za Miradi mbalimbali ya maendeleo kutumia nyimbo za Kampeni kutumbuiza wananchi hali ya kuwa muda wake umeshaisha na wananchi wanaohudhuria huwa ni wa vyama mbalimbali.

Je, ni sahihi kutumia utambalisho huu wa nyimbo za Kampeni katika mikutano hiyo hali ya kuwa Kampeni zimeshaisha na walengwa ni Wananchi wote bila kujali itakadi zao?

Hoja Mezani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom